Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kama sisi tumeagiza sukari uganda na tunavyo viwanda vya kutosha sina chakushangaa..

Binafsi nashukuru kwa kufunga mipaka maana ntanunua nafaka zilizokua zinapelekwa kenya ovyo kwa bei rafiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
img_20200516_101501-jpg.133339

img_20200516_101503-jpg.133345

img_20200516_101537-jpg.133340

img_20200516_101540-jpg.133341
 
Duh wa Ethiopia si wanakimbiaga njaa kwao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mtu akitoka nje ya nchi yake aende nchi nyengine atakua amekimbia njaa? Mbona unashindwa kufikiria? Ni watanzania wangapi wametoka nje ya nchi Yao na kwenda nchi za watu ni njaa iliwafukuza tanzania? Population ya Ethiopia ni nyingi mno na nafasi za Ajira ni adimu mno hata ingekua ni watanzania ambao Wana population Kama ya Ethiopia ingewalazimu pia watoke kwa hio style.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
UGANDA njaa imeishaanza kupiga tutauza uganda si umeona maandamano jana uganda wananchi wanataka chakula
Wala waganda hawapendi ugali labda kule northern na wale wanakula ugali wa mhogo,kile wanachotaka tu ni lockdown itolewe ili warudi kazini,ndizi zimejaa mbale/tororo,kule rwenzori,fort portal na larger Western uganda. Mchele wanao kibao

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Mtu akitoka nje ya nchi yake aende nchi nyengine atakua amekimbia njaa? Mbona unashindwa kufikiria? Ni watanzania wangapi wametoka nje ya nchi Yao na kwenda nchi za watu ni njaa iliwafukuza tanzania? Population ya Ethiopia ni nyingi mno na nafasi za Ajira ni adimu mno hata ingekua ni watanzania ambao Wana population Kama ya Ethiopia ingewalazimu pia watoke kwa hio style.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Which Ethiopia?
When will Ethiopia stop asking for food aid? - Humanitarian Practice Network
 
Read for export

Toa tonnage zake!

Sio kilo blah and blah

Vilimo vya kijinga hivi vya kulisha familia ya watu wawili!

Mtihani wa commercial farming ulitushinda halafu tupo hapa tunatanua madomo kwa kilimo cha jembe-mkono!
 
We fala usini-quote mimi! Pita kuleee!
 
Back
Top Bottom