Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
UGANDA njaa imeishaanza kupiga tutauza uganda si umeona maandamano jana uganda wananchi wanataka chakula
Uganda haijawahi kua na njaa
Are smoking something?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UGANDA njaa imeishaanza kupiga tutauza uganda si umeona maandamano jana uganda wananchi wanataka chakula
Jana wameandamana wanadai chakulaUganda haijawahi kua na njaa
Are smoking something?
Wafukuzeni
Tutauza UGANDA mkuu just watch and learn
Mtu akitoka nje ya nchi yake aende nchi nyengine atakua amekimbia njaa? Mbona unashindwa kufikiria? Ni watanzania wangapi wametoka nje ya nchi Yao na kwenda nchi za watu ni njaa iliwafukuza tanzania? Population ya Ethiopia ni nyingi mno na nafasi za Ajira ni adimu mno hata ingekua ni watanzania ambao Wana population Kama ya Ethiopia ingewalazimu pia watoke kwa hio style.
Wala waganda hawapendi ugali labda kule northern na wale wanakula ugali wa mhogo,kile wanachotaka tu ni lockdown itolewe ili warudi kazini,ndizi zimejaa mbale/tororo,kule rwenzori,fort portal na larger Western uganda. Mchele wanao kibaoUGANDA njaa imeishaanza kupiga tutauza uganda si umeona maandamano jana uganda wananchi wanataka chakula
Which Ethiopia?Mtu akitoka nje ya nchi yake aende nchi nyengine atakua amekimbia njaa? Mbona unashindwa kufikiria? Ni watanzania wangapi wametoka nje ya nchi Yao na kwenda nchi za watu ni njaa iliwafukuza tanzania? Population ya Ethiopia ni nyingi mno na nafasi za Ajira ni adimu mno hata ingekua ni watanzania ambao Wana population Kama ya Ethiopia ingewalazimu pia watoke kwa hio style.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Its only the matter of time! ni wachache wanaoweza kufa na tai shingoni! Soon or later pride will be thrown over board!And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Read for export
We fala usini-quote mimi! Pita kuleee!Toa tonnage zake!
Sio kilo blah and blah
Vilimo vya kijinga hivi vya kulisha familia ya watu wawili!
Mtihani wa commercial farming ulitushinda halafu tupo hapa tunatanua madomo kwa kilimo cha jembe-mkono!
Jana wameandamana wanadai chakula
We fala usini-quote mimi! Pita kuleee!
Haha leo geza umewezwa na mwenzako zile sifa sifa zako leo huna pa kupumulia....jamaa ana hoja nzuri mskizeWe fala usini-quote mimi! Pita kuleee!
sikiliza Balozi wenu huku anaomba msamaha! Siku moja baada ya mpaka kufungwa! Kabudi kamwabia atamjibu baada ya wiki!Haha leo geza umewezwa na mwenzako zile sifa sifa zako leo huna pa kupumulia....jamaa ana hoja nzuri mskize
Sent using Jamii Forums mobile app
And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Wataomba Zambia pia
Pale unaposikia kutegemea mende atoe damu ndo hii ya Wakenya.