Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Acheni fitina na uoga. Si siri vision ya TZ ni kuita wawekezaji nchini toka nchi za Afrika na nje ya Afrika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kila muwekezaji ni fursa kwa Tanzania na wananchi wake. Iwe kutoka S. Afrika au Moroko au Kenya ni sawa tu.

Vijana wako mitaani, acha wawekezaji waje Madegree yanayosaga lami yapate ajira. Leo hii uwekezaji wa Kenya umewapatia ajira watanzania zaidi ya 50 elfu. Hivi hamlioni hilo!
 

nimesema chanzo chako as a( sample) , elewa kwanza apo alafu BOT hua wanatoa annual report kila mwaka kwa maadishi sio michoro sasa ni kazi yako kwenda kwenye website na kuziona
  • nmesema ~70B kwenye huoni hio sign ya almost before ama huelewi maaana ya hio sign?
  • Mbna hata kipindi cha magu tulishawahi kua na recession, kitu cha kawaida sana hicho but pandemic this is the first
  • Hakunaga final gdp we boya! kila sku kuna effects za GDP but znachukulia tu annually
  • yaaani uende kushoto kulia juu na chini magu alinua uchumi pakubwa sana na hapo ni bado miradi ilikua haijakamilika sasa ingekamilika ingekua story ingine
 
Hizi sera za kuchoma vifaranga vya Kenya, kulangua ng'ombe wa Kenya, "kupambana na mabeberu" wanaopitia mgongo wa Kenya, Ni sera za kishamba sana, hazina mwelekeo, na zilizikwa kule Chato pamoja na kamanda wake Magu.

Tupende tusipende, Kenyan is an economic giant. Tunamhitaji naye anatuhitaji. Kama kuna mapungufu, mizania isiyokuwa sawa, marekebisho yafanyike kwa mazungumzo. Full stop.
 
Kwa taarifa yako mleta uzi ni kwamba Kenya trade more in Uganda than in Tanzania, so we Tanzania can't be on our own, Kenya ndio nchi pekee tunayo pakana nayo kwa karibu zaidi na kuwa na boda nyingi zaidi kuliko nchi yoyote ile. wafanya biashara wa Tanzania haswa wakulima wa mazao wana fanya biashara zao nyingi mipakani vivo hivyo kwa Kenya.

ni ukweli usio pingika kuwa hapakuwa na mahusiano mazuri ya kibiashara baina yetu sasa Rais Samia ameamua kufufua mahisiano ya kibiashara kwa masilahi ya wananchi.

sasa Maraisi wetu hawa amekubaliana kwa dhati kuondoa urasimu na vikwazo vyote.

kinacho fanyika hapa ni mashirikiano sio MASHINDANO.
Hii sasa ndio fursa ya sisi sote Watanzania na Wakenya kukua kiuchumi.

hivi sasa naandaa magunia yangu ya njugu mawe napeleka kenya kuuza.
 
..at least hao walitokana na uchaguzi.

..unaweza kusema walikuwa wanachukiwa na walioshindwa uchaguzi.

..sasa huyu mama kosa lake ni nini? Je ni kwasababu ya kabila lake, dini yake, jinsia yake,..tatizo ni nini?
Kwani mama ni kabila gani kwanza? hebu tuanzie hapo...
 
Kuna ubaya gani mwafrika mwenzako kunufaika ?
 
Watanzania tulivyo wapumbavu, nasema tena wapumbavu, badala ya kuwaza namna ya kuwa sehemu ya hicho kinachojadiriwa unatamani kisiwepo. Hivi mnafikiri siku zote dunia itakuwa Tanzania? Yaani Tanzania ndiyo dunia kweli?
 
Kwa siasa zake zile za kishamba, unafikiria bila kuwa na siasa safi na majirani zako huo uchumi utaujenga vipi na hao majirani?!wakati anaingia madarakani, alipokurupuka na kuweka tozo za ajabu ajabu pale bandarini nini kilitokea?hadi ana kuja shituka , watu wengi wamekimbilia mombasa, eti hata tukikosa mizigo tutakuwa tunaitumia wenyewe kweli hayo ni mawazo ya kiongozi?ulizia nini kilitokea alipotaka kuleta utaratibu wa uzito wa magari (super single)kwa nchi za SADIC?
diplomasia ya uchumi ndio inayoongoza dunia, ile ya mabavu ilishapitwa na wakati, wakikuona hueleweki wana kukwepa tu!!kama walivyotufanya kwenye COVID 19!
 
kuna watu wanalipwa haiwezekani kwa siku mtu anaanzisha mada lukuki dhidi ya mtu(kiongozi/serikali)all negative...it doesnt make sense
 
Huu ni uongo mtupu,mpuuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…