Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

Wa TIZIII hamuwajui wakolomije na Lugumi?
Huo sio ukabila.
Itoke kwa ccm (kibanzi kwenye jicho) ndio tukuwe na moral authority ya kuwakemea wenzetu kwa ukabila (boriti)
 
The next general election CCM wakiwin naona kavita kakipiganwa Tanzania
Na nyinyi mkuwe wajanja, msichague mutu inatoka kabila moja na huyu jamaa ya chato kwa kipande hii ya tizii.

motion ipelekwe kwa bunge ganja iwe chanzo cha mapato ya serikali na sakramenti kwa watumiaji.
Mtoto ya burning spear atai surport.
 
Angalia map uniambie how logical this is
through uganda and sudan πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nyie simutakua kwenye vita kama 1 year hvi
 
siasa zitakuuuwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umevamia mada sio
Wala sijavamia mada.
Ccm ni adui yangu, kwa hiyo adui wa adui yangu ni rafiki yangu.
 
Hapo mliconiwa man. That is a very loooooooooooooooooooong route.
nyie mutakua kwenye vitaaa sasa afanyajeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ethiopia mjanja sana
 
Wala sijavamia mada.
Ccm ni adui yangu, kwa hiyo adui wa adui yangu ni rafiki yangu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ chuki za siasa hahahahahahahha
 
nyie mutakua kwenye vitaaa sasa afanyajeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ethiopia mjanja sana
Kenya is avery peaceful country mate. Hakuna vita anytime soon. Plus I am pro Oromo revolution movement.
 
Kenya is avery peaceful country mate. Hakuna vita anytime soon. Plus I am pro Oromo revolution movement.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unanifurahisha sana
 
Wivu wa kukataa kufungua Bolongoja gate unawawasha! Ntafurahi Museveni akitangaza rasmi Uganda kujiunga na SGR project ya Tanzania
 
Wivu wa kukataa kufungua Bolongoja gate unawawasha! Ntafurahi Museveni akitangaza rasmi Uganda kujiunga na SGR project ya Tanzania
maana burundi na rwanda washatangaza kutumia SGR ya tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…