Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

khaaaaa, mbulula maana yake ni mjinga. wamasai watakataaje kukaa tanzania wakati kenya mnaukabila unaonuka? mtawatenga kama kinyesi. tena huku hakuna ukame. wanachungia watakavyo na malisho ni makubwa. kenya watakaa wapi? wasambulu tu mmeshindwa kuwalea
Wa TIZIII hamuwajui wakolomije na Lugumi?
Huo sio ukabila.
Itoke kwa ccm (kibanzi kwenye jicho) ndio tukuwe na moral authority ya kuwakemea wenzetu kwa ukabila (boriti)
 
The next general election CCM wakiwin naona kavita kakipiganwa Tanzania
Na nyinyi mkuwe wajanja, msichague mutu inatoka kabila moja na huyu jamaa ya chato kwa kipande hii ya tizii.

motion ipelekwe kwa bunge ganja iwe chanzo cha mapato ya serikali na sakramenti kwa watumiaji.
Mtoto ya burning spear atai surport.
 
Wivu wa kukataa kufungua Bolongoja gate unawawasha! Ntafurahi Museveni akitangaza rasmi Uganda kujiunga na SGR project ya Tanzania
 
Wivu wa kukataa kufungua Bolongoja gate unawawasha! Ntafurahi Museveni akitangaza rasmi Uganda kujiunga na SGR project ya Tanzania
maana burundi na rwanda washatangaza kutumia SGR ya tanzania
 
Back
Top Bottom