Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hapo nimekulewa vizuri shukrani mkuuSumu inyozungumzwa hapa sio pesticides au za kuhifadhia mahindi, ile ni volatile na hazina Madhara kiasi hicho,
Sumu inayozungumzwa hapa ni aflatoxin inayozaliswa na fungus ikiwa mahindi hayakukaushwa vizuri, hayakuwa treated au yamekuwa contaminated na hao fungus wakati wa storage au transportation.
Hawa inabidi tuwanyoroshe, ila itakuwa ni kuwaonea tu maana labda wanapelekeshwa ili tusipatane nao. Ubaguzi ni mbaya sana asee...South Africa wako na protectionism policy kutoka zamani, hapa kwao ni kawaida, they cannot tolerate competition. Not the first time, na sio kwa Tanzania pekee.
Naona wachache wenye uchumi mkubwa huko SA ambao ni weupe ndio wanaendesha hizi sera za kibaguzi ili kutupambanisha na hao weusi wenzetu.hawa nao ni mabingwa wa kuanzisha vita wasiyoweza kupigana.
africa nzima tunaweza kuwatenga kwa upuuzi wao.
ndio maana imeanza kupitwa pitwa kiuchumi kizembe sababu ya ujinga ujinga huu.
Nao wajinga.Naona wachache wenye uchumi mkubwa huko SA ambao ni weupe ndio wanaendesha hizi sera za kibaguzi ili kutupambanisha na hao weusi wenzetu.
the real issue hapa ni kama kweli mahindi kutoka uganda na Tanzania zina level ya juu ya hizi mycotoxins....tuache hizi shallow minds kuona kila kitu ni vita. In civilized societies matters health wanazichukulia serious sana
Hio ndio changamoto kubwa sasa. Shida sana kwa wengi kujitambua.Nao wajinga.
unakubalije kusombwa sombwa tu ukamilishe malengo ya wengine!!!
Mzee wa Nondo za upande ule upo?Waziri wa kilimo anapaswa kulijibu hili kwa ufasaha na kwa data..ile kanusho ama la lakini lazima ajibu kisomi
Hili kafara la kubanika hivi viumbe dhaifu lilikuwa baya mnoHabari muungwana.
Hivi karibu kuna habari imetoka juu ya nchi jirani ya Kenya kupiga marufuku ya kutoagiza ama kununua mahindi kutoka katika nchi ya Tanzania na Uganda. Kitendo hiki tutake tusitake ni pigo kubwa kwa wakulima wetu...
Hii mbona kama nilipitwa vile🙄Hili kafara la kubanika hivi viumbe dhaifu lilikuwa baya mno
Hakuna nchi Afrika inaizidi Afrika Kusini kwa kilimo.Mahindi ya Tanzania yanauzwa Zimbabwe na Afrika kusini!
Since 1963 the same statement, zero implementation, still depend on Tanzania and UgandaTunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.