Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Subirini siku mkivileta vifaranga vyienu vya kuku hapa Namanga.Tutavichoma moto hadi kwenye makalio.
 
Kenya wanavisa sana si ndio wametuletea na Nzige ila tunashukuru serikali ya Awamu ya 5 kupitia kwa PM Majaliwa tumewatokomeza.
 
Ashakum si matusi, ila itabidi niwaite wapumbavu nyie mnaotupia porojo zenu za kipumba dhidi ya maamuzi haya ya nchi ya Kenya. Maanake upumbavu wenu huo ni sawa na kuona sifa kwamba nyinyi wenyewe mnatumia mahindi hayo hayo ambavyo yana aflatoxin. Mahindi ambayo yatazidi kuwaangamiza wengi kwa ugonjwa hatari wa kansa.
 

No! A broken clock is good for nothing!

Hayo yote mbona yamefanyika!??? Kenya hasa never been our loyal ally tangu afunge ndoa na London &Washington
 
Ni wakati wa kuujenga ukuta ktk boda ya Tanga bahari ya hindi hadi shirati ktk ziwa victoria ili tusiingialiane kabisa.Nazani itifaki itazingatiwa.Sawa mk24?
 
mkuu acha tu, humu nimegundua kuna watu wanachangia ila hawajui hata shamba kukoje....!


sisi tunaolima ndio tunajua upepo unavoenda, mfano saizi angalia mpunga umedoda huko kwenye maghala alafu anakuja mjinga na blah blah zake!
Kuna Ndama mmoja hapo juu kaandika ujinga mtupu anadai Zimbabwe na SA ndio watumiaji wakubwa wa mahindi yetu. Mimi nilishakaa Zimbabwe kabla ya yule kichaa Mugabe hajaharibu nchi. Jamaa wanalima aisee tena walikuwa na mbegu inaitwa SASAKAWA GLOBAL 2000 shina moja la muhindi linabeba watoto wanne. Jamaa wale wazungu walilima wakawa wanalisha Afrika. Sisi tunajidanganya na siasa zetu za mapambio. Akamuulize Summry mahindi yanavyomdodea. Kuna sehemu mchele ni shilingi 900 mpaka muda huu. China anataka sana muhogo tunachezacheza tu Zambia kachukua hiyo kazi.
 
Kenya wanavisa sana si ndio wametuletea na Nzige ila tunashukuru serikali ya Awamu ya 5 kupitia kwa PM Majaliwa tumewatokomeza.
Hivyo ndio Jiwe lenu limewaaminisha? Kwamba Kenya ndio wamewaletea nzige? Mna ushamba mwingi sana nyie viumbe. Nzige waliingia Kenya kutoka Somalia na Ethiopia. Kabla ya kuingia Somalia walifika Yemen baada ya kuvuka mpaka kutoka jangwani Saudi Arabia.
 
Ila batu bakenya bakishakunywa chang'aa banakuwa na maamuzi ba kibee sana na porojo ba mingi mno.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tuachie Mutu Kufu wetu
 
tuwasamehe tu...... hii nchi ingekua na viongozi wanaojua majukumu yao tusingekua hapa!
 
tuwasamehe tu...... hii nchi ingekua na viongozi wanaojua majukumu yao tusingekua hapa!
Tungegawanya kikanda katika kilimo na kuacha CCM na ulafi wetu tungekuwa mbali sana tena hasa. Nyerere na maovu yake ila alijiyahidi. Hivi Big 5 bado ipo
 
Nahisi k inatuwiwa na beberu hivi
 
Tungegawanya kikanda katika kilimo na kuacha CCM na ulafi wetu tungekuwa mbali sana tena hasa. Nyerere na maovu yake ila alijiyahidi. Hivi Big 5 bado ipo
sidhani kama bado ipo hiyo big 5......


ila kugawa kikanda haitasaidia maana shida ni mindset za watawala wetu na wenye mamlaka,


ndio utazalisha sana mazao, then mtapeleka kuuza wapi wakati kuuza nje lazima uwe na kampuni, na hapa kwetu kuanzisha kampuni urasimu wake utaona bora uendelee kulima kienyeji tu!
 
Kitendo cha kuua NMC na GAPEX nikajua sasa hakuna kitu. Huyu wakala wa chakula ni hovyo kbs.
 
Wapumbavu mbona imewachukua muda mrefu hivi kubaini hili, tunawalipa mishahahara ili mtulinde, mpaka Wakenya wafe ndio leo mnasema. Sitisheni kabisa uagizaji wa haya mahindi, majirani kwa uzembe wao hawawi makini, wanavuna na kuuza tu.
Nyie ndio wapumbavu na malazy wakubwa,ardhi yote yenye rutuba tuliyobarikiwa afrika lakini kwa undezi wenu mnategemea chakula cha kununua na aibu zaidi karne ya 21 bado mnaomba hadi misaada ya chakula,mahindi haya haya mnayodai yana sumu kama mkipewa msaada kutoka america pamoja na sumu yake mngekuja kuanzisha thread ya kujitapa,hata ethiopia iliishaachaga mambo ya kuomba misaada ya chakula
 

Attachments

  • 2706444_K.jpg
    63.8 KB · Views: 1
Tatzo lpo kwa wakenya wenyewe mahindi huwa wananunua mahindi kutoka kwetu yapo vzuri kabsa yakifika kwao huwa wanatia maji ilikuongeza uzito tatzo ndpo ninaanzia hapo

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Inaogopesha sana, hawa watu ni ombaomba wa viwango vya juu sana, yule k ana matatizo sana.
 

Jeuri ya hela ndio husababisha tuagize mahindi wapi, lini na kwa nani na yawe ya kiwango gani, hivyo tumewashtukia wazembe mnaosindika tu bila kujali ubora, sasa mtayakula wenyewe huko, hela tunazo za kuagiza popote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…