Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Even a Broken Clock is Right twice a Day....
Kwahio sio mbaya tukafanya uchunguzi zaidi kwa manufaa ya raia wetu..., si kuna log za mizigo fulani fulani na sehemu yalipotoka sio vibaya kama wakazunguka kwa hao wakulima baadhi na kuangali labda kuna some pesticides wanatumia au tatizo lipo wapi...
Ndio maana nikasema waKenya washirikishwe ili kuona / kubaini hao unaowaita watia sumu ili nao washughulikiwe...., sababu maharamia ni maharamia tu no matter kama ni wananchi wenzako au majirani zako.... When its Profit at All Costs..., Human Lives plays a Second Fiddle....
Pia inawezekana mizigo kabla ya kuondoka hapa sampuli zipimwe na sample ipelekwe kule..., hili sio tatizo la Afrika tu...., Amini nakwambia tunalishwa makapi sio ya kawaida...
Kuna Ndama mmoja hapo juu kaandika ujinga mtupu anadai Zimbabwe na SA ndio watumiaji wakubwa wa mahindi yetu. Mimi nilishakaa Zimbabwe kabla ya yule kichaa Mugabe hajaharibu nchi. Jamaa wanalima aisee tena walikuwa na mbegu inaitwa SASAKAWA GLOBAL 2000 shina moja la muhindi linabeba watoto wanne. Jamaa wale wazungu walilima wakawa wanalisha Afrika. Sisi tunajidanganya na siasa zetu za mapambio. Akamuulize Summry mahindi yanavyomdodea. Kuna sehemu mchele ni shilingi 900 mpaka muda huu. China anataka sana muhogo tunachezacheza tu Zambia kachukua hiyo kazi.mkuu acha tu, humu nimegundua kuna watu wanachangia ila hawajui hata shamba kukoje....!
sisi tunaolima ndio tunajua upepo unavoenda, mfano saizi angalia mpunga umedoda huko kwenye maghala alafu anakuja mjinga na blah blah zake!
Hivyo ndio Jiwe lenu limewaaminisha? Kwamba Kenya ndio wamewaletea nzige? Mna ushamba mwingi sana nyie viumbe. Nzige waliingia Kenya kutoka Somalia na Ethiopia. Kabla ya kuingia Somalia walifika Yemen baada ya kuvuka mpaka kutoka jangwani Saudi Arabia.Kenya wanavisa sana si ndio wametuletea na Nzige ila tunashukuru serikali ya Awamu ya 5 kupitia kwa PM Majaliwa tumewatokomeza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tuachie Mutu Kufu wetuHivyo ndio Jiwe lenu limewaaminisha? Kwamba Kenya ndio wamewaletea nzige? Mna ushamba mwingi sana nyie viumbe. Nzige waliingia Kenya kutoka Somalia na Ethiopia. Kabla ya kuingia Somalia walifika Yemen baada ya kuvuka mpaka kutoka jangwani Saudi Arabia.
tuwasamehe tu...... hii nchi ingekua na viongozi wanaojua majukumu yao tusingekua hapa!Kuna Ndama mmoja hapo juu kaandika ujinga mtupu anadai Zimbabwe na SA ndio watumiaji wakubwa wa mahindi yetu. Mimi nilishakaa Zimbabwe kabla ya yule kichaa Mugabe hajaharibu nchi. Jamaa wanalima aisee tena walikuwa na mbegu inaitwa SASAKAWA GLOBAL 2000 shina moja la muhindi linabeba watoto wanne. Jamaa wale wazungu walilima wakawa wanalisha Afrika. Sisi tunajidanganya na siasa zetu za mapambio. Akamuulize Summry mahindi yanavyomdodea. Kuna sehemu mchele ni shilingi 900 mpaka muda huu. China anataka sana muhogo tunachezacheza tu Zambia kachukua hiyo kazi.
Tungegawanya kikanda katika kilimo na kuacha CCM na ulafi wetu tungekuwa mbali sana tena hasa. Nyerere na maovu yake ila alijiyahidi. Hivi Big 5 bado ipotuwasamehe tu...... hii nchi ingekua na viongozi wanaojua majukumu yao tusingekua hapa!
Nahisi k inatuwiwa na beberu hiviMamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya
Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani
Sumu hizo zimesababisha vifo vya wakenya wengi kwa miaka, hali iliyosababisha wachukua hatua ya kuacha kupokea mahindi kutoka Tanzania na Uganda
Aidha wamesema wataendelea kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na nchi wazoshirikiana nazo kibiashara na wanasubiri kuona washikadau wakilizungumzia tatizo hilo
==
View attachment 1718222
Uenda baada ya mwehu Mugabe kuharibu nchini.Mahindi ya Tanzania yanauzwa Zimbabwe na Afrika kusini!
sidhani kama bado ipo hiyo big 5......Tungegawanya kikanda katika kilimo na kuacha CCM na ulafi wetu tungekuwa mbali sana tena hasa. Nyerere na maovu yake ila alijiyahidi. Hivi Big 5 bado ipo
Kitendo cha kuua NMC na GAPEX nikajua sasa hakuna kitu. Huyu wakala wa chakula ni hovyo kbs.sidhani kama bado ipo hiyo big 5......
ila kugawa kikanda haitasaidia maana shida ni mindset za watawala wetu na wenye mamlaka,
ndio utazalisha sana mazao, then mtapeleka kuuza wapi wakati kuuza nje lazima uwe na kampuni, na hapa kwetu kuanzisha kampuni urasimu wake utaona bora uendelee kulima kienyeji tu!
Nyie ndio wapumbavu na malazy wakubwa,ardhi yote yenye rutuba tuliyobarikiwa afrika lakini kwa undezi wenu mnategemea chakula cha kununua na aibu zaidi karne ya 21 bado mnaomba hadi misaada ya chakula,mahindi haya haya mnayodai yana sumu kama mkipewa msaada kutoka america pamoja na sumu yake mngekuja kuanzisha thread ya kujitapa,hata ethiopia iliishaachaga mambo ya kuomba misaada ya chakulaWapumbavu mbona imewachukua muda mrefu hivi kubaini hili, tunawalipa mishahahara ili mtulinde, mpaka Wakenya wafe ndio leo mnasema. Sitisheni kabisa uagizaji wa haya mahindi, majirani kwa uzembe wao hawawi makini, wanavuna na kuuza tu.
Inaogopesha sana, hawa watu ni ombaomba wa viwango vya juu sana, yule k ana matatizo sana.Nyie ndio wapumbavu na malazy wakubwa,ardhi yote yenye rutuba tuliyobarikiwa afrika lakini kwa undezi wenu mnategemea chakula cha kununua na aibu zaidi karne ya 21 bado mnaomba hadi misaada ya chakula,mahindi haya haya mnayodai yana sumu kama mkipewa msaada kutoka america pamoja na sumu yake mngekuja kuanzisha thread ya kujitapa,hata ethiopia iliishaachaga mambo ya kuomba misaada ya chakula
Nyie ndio wapumbavu na malazy wakubwa,ardhi yote yenye rutuba tuliyobarikiwa afrika lakini kwa undezi wenu mnategemea chakula cha kununua na aibu zaidi karne ya 21 bado mnaomba hadi misaada ya chakula,mahindi haya haya mnayodai yana sumu kama mkipewa msaada kutoka america pamoja na sumu yake mngekuja kuanzisha thread ya kujitapa,hata ethiopia iliishaachaga mambo ya kuomba misaada ya chakula