Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Kwahivyo jomba hizo beer zote huwa unatutupia humu ni za kununuliwa. [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali ulisema wewe si Kikuyu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kadoda11 game over Kina Kawira, Mwende, Nkatha ni watamu aisee! Huwa wana shepu poa sana yaani kitu laptop size! Nachowapendea wasichana wa kimeru akishaingia kwenye chumba cha kulala anaanza kwa kutoa nguo zote afu anakaa kwenye kona ya kitanda. Kisha anakutupia macho, hamna cha aibu wala nini! Ukweli, uongo?
 
Hebu agiza mzinga (konyagi) ntalipa bili![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Maanake hizi nondo za leo sio bure[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hebu agiza mzinga (konyagi) ntalipa bili![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Maanake hizi nondo za leo sio bure[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Aisee konyagi? Hiyo kitu ni kali sana! Bahati yangu mbaya tulikosana na pombe tukaachana! Mwaka unafika wa tatu sasa hatujarudiana ata mimi siamini. Shukran mkuu, tuma basi hela kwa mpesa ntanunua angalau hata kreti ya soda au thamosi ya chai! 😀 Ukirusha mpesa kumbuka pia kutuma pamoja na ya kutoa 😀
 
Luos are not powerful, just popular and famous, thus widely known. The powerful tribes in Kenya ni Kalenjins and Kikuyus! mfano, Luhyas and Luos (western and nyanza) combined can't challenge the Kalenjins economically, tunaelewa in our world economy(money) is power, with it u can pull many strings, labda mwanzilishi wa uzi u operationalize the term "powerfull" to suit the context of your argument.
 
Haaa mkuu umesahau kuwa offer haitolewi in terms of cash[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haaa mkuu umesahau kuwa offer haitolewi in terms of cash[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah. Utakuwa mchaga wewe! Hivi unafahamu ule wimbo wa...utaacha mali yako utaendaaa...utaendaaa....utaendaaa.X15🙂...utaenda mbinguni kwa baba! Hehe natumai ujumbe wangu umekufikia!
 
Hahahaha, mkuu nashukuru kwa uzoefu,
Nakaribia kuopoa kazi nyingine aisee, Nina trip mwezi ujao na nishaandaa mazingira, sitafanya makosa.![emoji14] [emoji14]
Kazi za kikenya nilizobahatika kukutana Nazo huwa zipo [emoji817] upstairs. Ni raha sana kumiliki kazi za namna hii.
 
Kwahivyo jomba hizo beer zote huwa unatutupia humu ni za kununuliwa. [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
duh!!...inaonekana you are my number one fan...yaelekea huwa unafatilia sana post zangu.

kuhusu bia ninazo tupia humu,huwa najinunulia mwenyewe kwa pesa yangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wagikuyu ni majambazi sana mfano mungiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
powerful into politics,that's I want I meant to say.

Kikuyu's and juluos are behind in setting all political agendas in kenya.

makabila mengine huwa yanachagua upande wa kujiunga nao.
 
ongeza na wasomali hapo..japo wanasifika sana kwa ugaidi ila upande mwingine kibiashara wako vizuri
wasomali ni ma-hustlers sana.

wameishika boda ya namanga katika biashara ya kubadilisha fedha.

wanakuwahi kwenye basi kilomita moja kabla hujafika boda ya namanga ili kama una hitaji fedha ya nchi ya kenya au ya tanzania uweze ku-change mapema kabla hujavuka kuingia upande wa pili.

akigundua kuwa wewe ni mgeni katika kujua namna ya kucheza na hesabu za exchange rate, lazima akupige.huyo ndio msomali.[emoji23] [emoji23]
 

Japo kuna kaukweli kwenye hilo la kukaribia Equator, lakini kiuhalsia haina mantiki maana huko Bongo kuna wau weusi tititi tena walio mbali sana na Equator. Kumbuka Kenya dada zangu Wakikuyu wapo karibu sana na Equator lakini wengi huwa na ngozi nyeupe pepepe....
 
mabinti wakikuyu ndio angalau kidogo wanaweupe kuzidi mabinti toka kabila zingine za upande wa kenya bara.

issue sio weupe tu,hata ubora wa ngozi kwa baadhi ya wakenya ni tofauti sana na wale wakutokea pwani ya kenya.

nadhani alicho gusia game over kuhusu equatorial condition kina mantiki fulani.
 
Na pia mabinti wetu waMeru kuna wengi weupe angalau kwetu Meru ni eneo karibu sana sana na equator.Wale watu wa Gambia na Senegal ni weusi kama makaa ingawa wanatoko Afrika kule juu mbali na equator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…