Kenyan economy is 90 % white dominated while Tanzanian economy is 80 localy dominated by Tanzanians

We Hujitambui kabisa
Lete Orodha ya Slum 100
Kama da imo nami nitakunywa maziwa ya mbwa kama wakenya
Nairobi slum population- 5%
Dar slum population- 70%

Maskini wa kutupwa nyinyi ndo maana mmejaza omba omba kila mahali Kenya...hadi lodwar, Turkana utawapata tu omba omba wa Tanzania
 
Mnapoteza nguvu nyingi kubishana vitu vinavyotokea kila pembe ya duniani.
South Africa matajiri uchumi unamilikiwa na nani kwa % kubwa?
Kenya wazungu wanamiliki uchumi kwa hizo takwimu zako lkn pia Kenya wapo matajiri weusi wanaomiliki viwanda vikubwa na biashara kubwa sana kuliko Tanzania.
Wakenya walio na uchumi mkubwa kuzidi level ya R.Mengi ni wengi sana kuliko Tanzania.Maana yake Tanzania hakuna watanzania weusi wenye uchumi mkubwa kama ilivyo Kenya.
Hapa tunajivunia akina Bahresa,Mo na wengine ambao ndio hao wanaosemwa wanamiliki uchumi wa Kenya.
 
Hizi comment zako unaandikiwa na mtu mwingine au? Yaani hueleweki kabisa. Unabadilisha gia sana. Rudi kwenye zile mada zako za magaidi wenzako al-shabaab. Au tamaa yako ya kujilipua iliisha?
Nimekuambie ulete hizo Takwimu ulizo sema hapa[emoji107]
 
Nairobi slum population- 5%
Dar slum population- 70%

Maskini wa kutupwa nyinyi ndo maana mmejaza omba omba kila mahali Kenya...hadi lodwar, Turkana utawapata tu omba omba wa Tanzania
Masikini hawa hapa
 
Nairobi slum population- 5%
Dar slum population- 70%

Maskini wa kutupwa nyinyi ndo maana mmejaza omba omba kila mahali Kenya...hadi lodwar, Turkana utawapata tu omba omba wa Tanzania
low IQ kama hizo niza wakenya tu# siwez endelea kuzungumza na watu Wenger low Iq kama ninyi
 
Wakenya wa Tanzania wanakuja kuwatetea
 
Naona ni kama watanzania wanawataka wazungu wa kenya kwa minajili ya ufuska!
Achananeni na wazungu wa kenya,they are kenyans,and born in Kenya and they are citizens,sijui mna yepi ya kusema hapa nyie.
 
Takwimu ziko wapi hizo za kuonesha Kenya inamilikiwa kwa asilimia tisini na wazungu. Hao wazungu pia majina yao nayangoja. Au ndo upo kwenye shughuli ya kutafuna minofu ya albino? Maliza fasta basi. Afu ukishashiba pitia ujumbe wa Kafrican hapo juu.

wewe unamfahamu LORD Dalamare na how MUCH is possessing?
 
Hihi hio ripoti ndo ya kujitetea? The same report wich said Tanzania beloe poverty line is at 79% of the population
 
Kaka unatumia akili katika kujenga hoja au unatumia sehemu gani ya mwili?. Tanzania inaongoza kusini mwa jangwa la Sahara katika inclusive economy, hivi unaelewa maana yake nini?
 
Hihi hio ripoti ndo ya kujitetea? The same report wich said Tanzania beloe poverty line is at 79% of the population
Hivi unajua maana ya inclusive economy na poverty?, wewe unatapatapa na kutafuta tundu la kupumulia ili upate hew safi, Tanzania has Inclusive economy than any other country in Sub sahara Africa, doesn't mean that is rich. Acha kugeuza mada kuu ambayo inazungumzia uchumi wa Kenya kuwa mikononi mwa watu wachache na walio wengi kubaki kama watazamaji.
 
Kaka unatumia akili katika kujenga hoja au unatumia sehemu gani ya mwili?. Tanzania inaongoza kusini mwa jangwa la Sahara katika inclusive economy, hivi unaelewa maana yake nini?
Jenga hoja sio matusi au unapo comment hutaki watu wa argue?
Kama ww unatumia akili nani asie na akili?
Kwani ratio ya matajiri wa Marekani na wananchi wa kawaida ikoje? Kwani Marekani hakuna Ombaomba ? na kwenye majukwaa uchumi wao unazungumziwaje?
Alieleta huu uzi hajasema kuhusu inclusive economy na unaweza ukaongoza kwenye inclusive economy nchi ikawa haiendi mbele...
 
Hapo ndipo tumshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa ajili ya Nyerere!
Kweli Tanzania tumebarikiwa sana!
Usituache hata sekunde moja Mola wangu!
 
Naona ni kama watanzania wanawataka wazungu wa kenya kwa minajili ya ufuska!
Achananeni na wazungu wa kenya,they are kenyans,and born in Kenya and they are citizens,sijui mna yepi ya kusema hapa nyie.

ahaaa haaa haaa wewe akili zako ni box kweli. hao Waingereza unaosema born in Kenya, wenyewe wanawaona nyingi maboya tu. wanasema a puppy if born in the horse's house can not make it a horse but it will still be a puppy. nyie endeleeni kujidanganya kuwa wao ni wakenya, halafu wakijiita Kenyan cowboys nyie endeleeni kuwakenulia mimeno yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…