Kenyan economy is 90 % white dominated while Tanzanian economy is 80 localy dominated by Tanzanians

Naweza kuwa mjinga kwa akili zako lkn kamwe siwezi kufurahia ujinga wako! Ungeniambia Watanzania gani weusi unaowaongelea kumiliki uchumi wa Tanzania kulinganisha na uchumi wa Kenya kumilikiwa na wageni ningekuelewa. Taifa ambalo tumefikia hatua ya kutoa hadi promotion kwa watu aina ya Dr Shika unatarajia watu wake wamiliki uchumi wa Nchi kwa 80%??
Unaongelea uchumi gani wewe?
 
Lakini kitu wakenya mnaudhi ni ile mental slavery! Mzungu mnamlamba matako, where as mweusi mwenzenu mnamdharau sana. Sijui ni mentality gani hiyo?
 
Ngumu sana kwako kuchangia huu mjadala, ninahisi sio size yako, fuatilia kwa mbali usikie vichwa vinavyodadavua mada kwa undani, ni hatari kuyajaribu maji ya mto kwa kutumbukiza miguu yote miwili.
 
Kaka muungwana akivuliwa nguo huchutama, mbona unaendelea kujidhalilisha?, kaa kmya kaka uwezo wako wa kuchangia mada sio wa jukwaa hili, rudi huko ulikotoka, huku hakukufai umekosea njia.
 
ha ha ha ... si hata afadhali ungesema wahindi
 
black Kenyan will continue suffering until Lucifer come to them # hii ni kwakuwa kenya bado colony la mzungu na uchumi wa Kenya 90 % is white owned economy
Wahindi Tanzania wapo 50,000 tu ambao ni 0.1% ya raia wote ila wanamiliki 90% ya uchumi wote...

Tanzania tunajifariji kipumbavu mno
 
Wahindi Tanzania wapo 50,000 tu ambao ni 0.1% ya raia wote ila wanamiliki 90% ya uchumi wote...

Tanzania tunajifariji kipumbavu mno

Unapo sema asilimia 90% ya uchumi kuwa hata serekali na wananchi wake wapo kwenye asilimia 10%.waliokusomesha wanajuta na watazidi kujuta.ni utoporo ulio jaa kipande cha mavi kichwani.

Uchumi wa tanzania una watu wengi walio na utajiri mkubwa.
Kuna utajiri wa kujulikana kwenye media na utajiri kukujua kupitia serekali.

Mfano usa kuna matajiri ambao ukicheki hata wale wanao tangazwa unaona nao uomba msaada kwa matajiri wasio jitangaza
 
Nani alikwambia serikali ina hela?

Uchumi wa Tanzania,output yake 90% ni owned by Indians ambao ni asilimia 0.1% ya population,hutaki kaharishe huko!

Viwanda vyote nchini kwa asilimia 100% vinamilikiwa na Wahindi,let that sink in first!

Halafu nenda ukanye huko
 

Kale sukuma wiki.naona akili zako azipo sawa
 
hii ujinga mnakuwanga nayo kujifariji ...angalia makampuni makubwa Kenya, kutoka banks ..uniambie shareholders na founders ni nani?
we argue with numbers not wishes and hopes
Who is a credible source between you and International bodies which are responsible for conducting informations on economic and developments Worldwide?
 
Sasa wewe ndio mkichaa kabisa.....

Unabisha Wahindi hawamiliki 90% ya uchumi wa TZ?

Unabisha kwamba umejaza mavi matakoni au unabisha sababu unmashabikia magufuli?

Nonsense
Nimekuekea LINK kutoka kwenye credible source, wewe unazungumza toka kichwani kwako, weka LINK tujisomee wacha kupiga kelele. Unataka tuache kuamini credible sources badala yake tuamini vichaa?
 
Weka credible sources tafadhali, Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayeamini maelezo yako bila kuweka "credible evidence.
 
Who is a credible source between you and International bodies which are responsible for conducting informations on economic and developments Worldwide?
which international body has said whites dominate 90% of kenya????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…