Je, unajua kwamba GDP na nguvu za hela za nchi zinafuatana sana kimaana?
ndiposa unapaswa kujua kwamba nguvu za pesa haitegemei factor moja tu. Ukisema haipimwi kwa inflation umekosea maana kilichowafanya Zimbabwe kuanza kutumia dola za marekani kufanya biashara ni inflation. Subsequently nguvu za pesa zao zilianguka.Dola moja ina thamani katika uchumi wa US lakini shilingi moja haina thamani katika uchumi wa kenya. Sasa usiangalie exchange rate tu. Angalia na nguvu ya hiyo pesa katika uchumi wa nchi husika.
Halafu thamani ya pesa haipimwi kwa inflation...bali ni depreciation na appreciation. Inflation inapima nguvu ya pesa katika manunuzi.
Nilijua ungepinga kabla ya kuwaza. GDP manake ni gross domestic product. Nguvu za fedha zinapimwa pamoja na kuzingatia imports na exports. Pia umaarufu wa sarafu ya nchi katika utenda biashara wao. Kwenye imports na exports ndipo unapatana na GDP.Ohoo...hapa inabidi uje na ada kabisa nikufunze uchumi kijana. Hakuna uhusiano wowote kati ya GDP na sarafu ya nchi. Amka usingizini.
ndiposa unapaswa kujua kwamba nguvu za pesa haitegemei factor moja tu. Ukisema haipimwi kwa inflation umekosea maana kilichowafanya Zimbabwe kuanza kutumia dola za marekani kufanya biashara ni inflation. Subsequently nguvu za pesa zao zilianguka.
Nilijua ungepinga kabla ya kuwaza. GDP manake ni gross domestic product. Nguvu za fedha zinapimwa pamoja na kuzingatia imports na exports. Pia umaarufu wa sarafu ya nchi katika utenda biashara wao. Kwenye imports na exports ndipo unapatana na GDP.
Unatumia ksh against exportsHiyo GDP yenu mmeipata kwa kutumia hesabu za USD au Ksh?
Najua tofauti vizuri sana.Tofautisha exchange rate na purchasing power ya currency
Unatumia ksh against exports
Najua tofauti vizuri sana.
Ili kukamilisha mjadala,je unajiaminisha kuwa purchasing power ya TSH ni kuu kuliko ksh??
Nadhani kusema ksh unaelewaHiyo GDP mliipata kwa kutumia currency ya marekani au ya kwenu?
Nadhani kusema ksh unaelewa
A wealthy nation is expensive. A less wealthy nation is cheaper. Hio haina maana kuwa currency ina high purchasing power.Hilo liko wazi na ndio nililokuwa nakwambia toka mwanzo ila unajifanya kichwa ngumu. Tsh ina purchasing power kubwa kuliko Ksh. Hilo hata wakenya wenzako wanalijua. Shopping wanayokuja kufanya huku sio sababu ya exchange rate, ni ile purchasing power ya Tshs.
A wealthy nation is expensive. A less wealthy nation is cheaper. Hio haina maana kuwa currency ina high purchasing power.
Mimi natumia tu data zilizo wazi. Hata katika kuadvise watalii huwa ni data kama hii inatumika. Na ni wazi kuwa kenya is wealthier than Tz leading to expensive life Yao. Upo huru kugoogle.Acha ulofa wewe! Mbona mgumu kuelewa hivyo? Bado unarudia kosa lile lile la kupima utajiri wa nchi kwa kuangalia exchange rate. Hebu pima currency ya SA na China halafu useme taifa lipi ni tajiri na lipi liko na cheaper life.
Ukitaka kuja kujua purchasing power lazima uone demand ya pesa za nchi husika. Tunapoangukia sote ni kuona kuwa wakenya wananunua vitu vingi( sanasana vyakula ) kutoka TZ hivyo demand ya Tz shilling ni kubwa ila hatuoni the bigger picture kama, bidhaa kutoka viwandani nani ananunua za mwengine zaidi na vitu vingine vingi. Usione tu bidhaa fulani uache vingine. Ukisha pata demand kamili ya pesa , fahamu demand ya juu ndiyo ina nguvu kushinda nyingine.Acha ulofa wewe! Mbona mgumu kuelewa hivyo? Bado unarudia kosa lile lile la kupima utajiri wa nchi kwa kuangalia exchange rate. Hebu pima currency ya SA na China halafu useme taifa lipi ni tajiri na lipi liko na cheaper life.
GDP= consumer expenditure ( ambayo ni matumizi ya wananchi nchini)+ government spending+investment+net exports.Mnatumia vipi kshs kupata GDP? Hebu nipe mchakato wake na jinsi mnavyokokotoa hiyo hesabu.
Hilo liko wazi na ndio nililokuwa nakwambia toka mwanzo ila unajifanya kichwa ngumu. Tsh ina purchasing power kubwa kuliko Ksh. Hilo hata wakenya wenzako wanalijua. Shopping wanayokuja kufanya huku sio sababu ya exchange rate, ni ile purchasing power ya Tshs.
Nyie njaanjaa mnaoomba mahindi huku kila mwaka ona watu wenyu turkana wana starveSisi ndio baba yenu na mama yenu, tuna hakikisha mnakula na kushiba.
marekani mtu anafanya kazi saa moja ya usafi analipwa $ 10,ambayo kule labda atanunulia chakula mlo mmoja tu.Pia nawe jiulize mbona mtu wa kwa mfano Kenya au Tz anayefanya kazi marekani akituma hela kama elfu za marekani zinafanya ujenzi ambao hela hizo kule marekani haziwezi kutekeleza? Je, hela za marekani ni rahisi kuzipata marekani?