Kenya's economy expands by 4.9% in the first quarter of this year

Kenya's economy expands by 4.9% in the first quarter of this year

Je, unajua kwamba GDP na nguvu za hela za nchi zinafuatana sana kimaana?

Ohoo...hapa inabidi uje na ada kabisa nikufunze uchumi kijana. Hakuna uhusiano wowote kati ya GDP na sarafu ya nchi. Amka usingizini.
 
Dola moja ina thamani katika uchumi wa US lakini shilingi moja haina thamani katika uchumi wa kenya. Sasa usiangalie exchange rate tu. Angalia na nguvu ya hiyo pesa katika uchumi wa nchi husika.

Halafu thamani ya pesa haipimwi kwa inflation...bali ni depreciation na appreciation. Inflation inapima nguvu ya pesa katika manunuzi.
ndiposa unapaswa kujua kwamba nguvu za pesa haitegemei factor moja tu. Ukisema haipimwi kwa inflation umekosea maana kilichowafanya Zimbabwe kuanza kutumia dola za marekani kufanya biashara ni inflation. Subsequently nguvu za pesa zao zilianguka.
 
Ohoo...hapa inabidi uje na ada kabisa nikufunze uchumi kijana. Hakuna uhusiano wowote kati ya GDP na sarafu ya nchi. Amka usingizini.
Nilijua ungepinga kabla ya kuwaza. GDP manake ni gross domestic product. Nguvu za fedha zinapimwa pamoja na kuzingatia imports na exports. Pia umaarufu wa sarafu ya nchi katika utenda biashara wao. Kwenye imports na exports ndipo unapatana na GDP.
 
ndiposa unapaswa kujua kwamba nguvu za pesa haitegemei factor moja tu. Ukisema haipimwi kwa inflation umekosea maana kilichowafanya Zimbabwe kuanza kutumia dola za marekani kufanya biashara ni inflation. Subsequently nguvu za pesa zao zilianguka.

Tofautisha exchange rate na purchasing power ya currency
 
Nilijua ungepinga kabla ya kuwaza. GDP manake ni gross domestic product. Nguvu za fedha zinapimwa pamoja na kuzingatia imports na exports. Pia umaarufu wa sarafu ya nchi katika utenda biashara wao. Kwenye imports na exports ndipo unapatana na GDP.

Hiyo GDP yenu mmeipata kwa kutumia hesabu za USD au Ksh?
 
Najua tofauti vizuri sana.
Ili kukamilisha mjadala,je unajiaminisha kuwa purchasing power ya TSH ni kuu kuliko ksh??

Hilo liko wazi na ndio nililokuwa nakwambia toka mwanzo ila unajifanya kichwa ngumu. Tsh ina purchasing power kubwa kuliko Ksh. Hilo hata wakenya wenzako wanalijua. Shopping wanayokuja kufanya huku sio sababu ya exchange rate, ni ile purchasing power ya Tshs.
 
A wealthy nation is expensive. A less wealthy nation is cheaper. Hio haina maana kuwa currency ina high purchasing power.
 
A wealthy nation is expensive. A less wealthy nation is cheaper. Hio haina maana kuwa currency ina high purchasing power.

Acha ulofa wewe! Mbona mgumu kuelewa hivyo? Bado unarudia kosa lile lile la kupima utajiri wa nchi kwa kuangalia exchange rate. Hebu pima currency ya SA na China halafu useme taifa lipi ni tajiri na lipi liko na cheaper life.
 
Mimi natumia tu data zilizo wazi. Hata katika kuadvise watalii huwa ni data kama hii inatumika. Na ni wazi kuwa kenya is wealthier than Tz leading to expensive life Yao. Upo huru kugoogle.
 
Tumia mfano wa nyumba ya familia ya tajiri na walokole. Maisha ya tajiri bila shaka itahitaji hela nyingi. Nakubaliana nawe kwa kiwango.
 
Acha ulofa wewe! Mbona mgumu kuelewa hivyo? Bado unarudia kosa lile lile la kupima utajiri wa nchi kwa kuangalia exchange rate. Hebu pima currency ya SA na China halafu useme taifa lipi ni tajiri na lipi liko na cheaper life.
Ukitaka kuja kujua purchasing power lazima uone demand ya pesa za nchi husika. Tunapoangukia sote ni kuona kuwa wakenya wananunua vitu vingi( sanasana vyakula ) kutoka TZ hivyo demand ya Tz shilling ni kubwa ila hatuoni the bigger picture kama, bidhaa kutoka viwandani nani ananunua za mwengine zaidi na vitu vingine vingi. Usione tu bidhaa fulani uache vingine. Ukisha pata demand kamili ya pesa , fahamu demand ya juu ndiyo ina nguvu kushinda nyingine.
 
Mnatumia vipi kshs kupata GDP? Hebu nipe mchakato wake na jinsi mnavyokokotoa hiyo hesabu.
GDP= consumer expenditure ( ambayo ni matumizi ya wananchi nchini)+ government spending+investment+net exports.

Ukitaka kufananisha mataifa itakubidi kutumia currency moja stable na mwafaka. Ila si lazima.
 
An ignorant mi
Hilo liko wazi na ndio nililokuwa nakwambia toka mwanzo ila unajifanya kichwa ngumu. Tsh ina purchasing power kubwa kuliko Ksh. Hilo hata wakenya wenzako wanalijua. Shopping wanayokuja kufanya huku sio sababu ya exchange rate, ni ile purchasing power ya Tshs.

Another ignorance on steroids from Tz! It is always cheaper to purchase daily goods from a poorer country, especially when exchange rate favours a stronger currency. Have done that in Uganda n Tanzania, ksh1000 will buy more goods in Tz and in Uganda than in Kenya, same $10 will buy more retail goods in East Africa than in the US., reason is more to the economy. Tz is small economically in comoarison to Kenya with also a weak currency. Shabiki za kupuzi uwache. Tz is extremely poor, with cooked data, world bank, imf na pia the economist wamegundua propaganda za CCM.
 
Pia nawe jiulize mbona mtu wa kwa mfano Kenya au Tz anayefanya kazi marekani akituma hela kama elfu za marekani zinafanya ujenzi ambao hela hizo kule marekani haziwezi kutekeleza? Je, hela za marekani ni rahisi kuzipata marekani?
marekani mtu anafanya kazi saa moja ya usafi analipwa $ 10,ambayo kule labda atanunulia chakula mlo mmoja tu.

kwa mchakato huu unaweza ona ni jinsi gani mzunguko wa pesa US ni mkubwa sana,mpaka kuchangia hilo.practically kuipata dollar marekani ni jambo jepesi sana,kuliko kuitafuta 2300 tz.

ndio sababu ya huu mjadala dhidi ya ksh,ni pesa iko na dilema nyingi sana[emoji16].
 
Back
Top Bottom