Hoja ya kutumwa Sana hii.Badala uzungumzie kwa nini Parachichi yetu haiingi moja kwa moja kwenye big markets Kama China hadi tupitie kwa jirani au Thailand kwa kutokua ba bilateral agreement we unazunyumzia kualikwa white house.Tuzungumze white house kiuchumi sio Kama sifa.
Atasema hali ya dmokrasia ya Tanzania ni ya hovyo...Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.
..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Huku kwetu kwa Sasa tunahangaika na soko la Parachichi kwa maana maisha Bora na uchumi ni human rights pia"the right to social welfare,economic rights.Unawaza maparachichi? Kwani huyu:
View attachment 1974975
yuko wapi? Hujui kuwa yumo humu?
View attachment 1974978
Wewe endelea kuwaza maparachichi ya huko Munjombe.
Hiiiiii bagos
Sasa ulitegemea huyu muimba taarab aende kuongea nini na watu wenye akili zao?Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Huku kwetu kwa Sasa tunahangaika na soko la Parachichi kwa maana maisha Bora na uchumi ni human rights pia"the right to social welfare,economic rights.
Kualikwa White House ni sifa?Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Sasa ulitegemea huyu muimba taarab aende kuongea nini na watu wenye akili zao?
Kualikwa White House ni sifa?
Siku Mama akialikwa utapinga?faida za raisi wa nchi kualikwa white house ni zipi?
CrapKutoalikwa ni sifa?
Mbona migambo mnarukaruka na kukanyagana menyewe kwa menyewe wallahi?
Kwani aliyemchukua hadi JK NY kwa ajili ya lobbying hakulijua hilo?
Hiiiiii bagosha!
Crap
Nyerere kansa ya damu. Magufuli chuma kwenye moyo. Ugonjwa wa JPM ungetibika kama sio ubishi wake na kupenda mashindano (ligi) iliyokuwa ndio tabia yake.Nyerere alipelekwa kutibiwa kwa wazungu bado akafa
Sisi tumechagua mauaji, kufungana kwa chuki, hatukidhi viwango vya kualikwa white houseWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
..nadhani kuna kitu kilimtokea ghafla.
..hata kama alikuwa akitukana wazungu, angeweza kuwashawishi kwa fedha, wakamtumia madaktari bingwa kuja kunusuru maisha yake.
Sisi tumechagua mauaji, kufungana kwa chuki, hatukidhi viwango vya kualikwa white house
White house siyo mbinguni!! Wana white house, tuna ikulu!! Hakuna tofauti!! Ni ulemavu wa akili kujisikia vizuri eti kwa sababu tu umeingia white house!!Kila mmoja ataingia white house kwa muda wake!
White house siyo mbinguni!! Wana white house, tuna ikulu!! Hakuna tofauti!! Ni ulemavu wa akili kujisikia vizuri eti kwa sababu tu umeingia white house!!
Jisikie vizuri kwa hoja iliyokupeleka yenye maxlahi kwa Taifa na siyo unaenda huko halavu unashnikizwa kuchanja watu wako ili mabeberu wapige pesa!! Ukichanjwa moja wanakuambia haitoshi chanja na booster!!
Acha mawazo ya kimaskini weweWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Kwani Kenyatta ni msemaji wa watanzania, acha upopoma wako..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.
..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Hayo ni mambo ya lobying tu, hamna kitu cha maana, ni nipe nikupe style.Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.