Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Wengine unawafundisha kwa vitendo kabisa, ila wengine wako shapu kuelewa ukianza wewe kumkiss vizuri passionately hata kama mwanzoni alikuwa anakosea anabadilika anakuiga kukiss

Ijapokuwa sio kazi rahisi, ila nashukuru wengi waliopitia kwangu hata kama tumeachana wameondoka na ujuzi wa kukiss
Kwahyo mkuu unataka huyu amina wa huku kwetu anayejua kubusu anaweza akawa amepitia kwako nini😁😁😁😁
 
Je hiyo ya kutoka tumboni inatibika??
Kwa utaalamu nilionao kwenye hio sekta 🤓🤓

Dawa pekee ni unanunua dawa ya meno sema aina ya hiyo dawa ni ngumu kuipata hivi hivi itabidi upande mabasi ya mkoani kuna watu wanauza zile dawa za meno njiani ukiipata unaikamulia yote tumboni afu unameza
(umeze huku umefumbua macho ukifunga tu itabidi urudie process)
Naimani tatizo mwenye nalo litakua limeisha

😁😁😁😁
 
Haya twende kazi

- Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza.

- Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua.

- Mmekubaliana fresh leo 'mtapumzika' pamoja kwa muda fulani. Cha ajabu mkifunga mlango tu kauli imebadilika unaambiwa "fanya chapu nataka nkasuke mwenzio hlf leo si unajua leo tuna kikoba"

- Mrefu kiasi nyuma amebinuka ile kiuchokozi. Mwenyewe unasema, Yes, Hapa full mbuzi kagoma! Laah salaleh, mwenzio hataki mambo hayo anang'ang'ania full kifo cha mende🤣🤣
Ukikuwa mutu muzima hutalalamika.
Mwanaume ni mwalimu, anza kumwelimisha mpenzi wako kidogo kidogo atakuwa bora hutolalamika
 
Kwa utaalamu nilionao kwenye hio sekta 🤓🤓

Dawa pekee ni unanunua dawa ya meno sema aina ya hiyo dawa ni ngumu kuipata hivi hivi itabidi upande mabasi ya mkoani kuna watu wanauza zile dawa za meno njiani ukiipata unaikamulia yote tumboni afu unameza
(umeze huku umefumbua macho ukifunga tu itabidi urudie process)
Naimani tatizo mwenye nalo litakua limeisha

😁😁😁😁
Huwezi kuwa serious
 
Back
Top Bottom