Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Shabiby inaking'amuzi sitawai mwendo wa sauli upo konkiMtapanda Shabiby tena high class
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiby inaking'amuzi sitawai mwendo wa sauli upo konkiMtapanda Shabiby tena high class
Kwahyo mkuu unataka huyu amina wa huku kwetu anayejua kubusu anaweza akawa amepitia kwako nini😁😁😁😁Wengine unawafundisha kwa vitendo kabisa, ila wengine wako shapu kuelewa ukianza wewe kumkiss vizuri passionately hata kama mwanzoni alikuwa anakosea anabadilika anakuiga kukiss
Ijapokuwa sio kazi rahisi, ila nashukuru wengi waliopitia kwangu hata kama tumeachana wameondoka na ujuzi wa kukiss
Balaaa limeingia huu mzunguko kitaumanaKwahyo mkuu unataka huyu amina wa huku kwetu anayejua kubusu anaweza akawa amepitia kwako nini😁😁😁😁
maendeleo hayana chama😁Huu ni uongo totally huo ulimi tunaobadilishana ni wa kenge au? Halafu kwani mate tunavyobadilishana ni unayasukuma kwa nje kama unayatema mbona umeiweka kiukatili sana. Watu wapeane mate kwa namna wanavyotaka iwe.
Kwa utaalamu nilionao kwenye hio sekta 🤓🤓Je hiyo ya kutoka tumboni inatibika??
Heeh! kuna harusi ya kimasikhara inaeza kutokea apaNjoo watsp[emoji81][emoji81][emoji81]
🤣🤣🤣Balaaa limeingia huu mzunguko kitaumana
Heeh! kuna harusi ya kimasikhara inaeza kutokea apa
😇😇😇heeh adi washaanza kutajana majina? kweli maendeleo hayana chamahuyu amina wa huku kwetu anayejua kubusu
Ukikuwa mutu muzima hutalalamika.Haya twende kazi
- Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza.
- Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua.
- Mmekubaliana fresh leo 'mtapumzika' pamoja kwa muda fulani. Cha ajabu mkifunga mlango tu kauli imebadilika unaambiwa "fanya chapu nataka nkasuke mwenzio hlf leo si unajua leo tuna kikoba"
- Mrefu kiasi nyuma amebinuka ile kiuchokozi. Mwenyewe unasema, Yes, Hapa full mbuzi kagoma! Laah salaleh, mwenzio hataki mambo hayo anang'ang'ania full kifo cha mende🤣🤣
ai ww!Haiwez hata kwa bahati mbaya[emoji3][emoji3]
Huwezi kuwa seriousKwa utaalamu nilionao kwenye hio sekta 🤓🤓
Dawa pekee ni unanunua dawa ya meno sema aina ya hiyo dawa ni ngumu kuipata hivi hivi itabidi upande mabasi ya mkoani kuna watu wanauza zile dawa za meno njiani ukiipata unaikamulia yote tumboni afu unameza
(umeze huku umefumbua macho ukifunga tu itabidi urudie process)
Naimani tatizo mwenye nalo litakua limeisha
😁😁😁😁
Joking yesHuwezi kuwa serious
Anaweza akawa mwanafunzi wangu 😅Kwahyo mkuu unataka huyu amina wa huku kwetu anayejua kubusu anaweza akawa amepitia kwako nini😁😁😁😁
[emoji16][emoji16][emoji16]Kweli we ni mzee wa kupambania naona unajipa assist halafu unaikuta kwa mbele mkuu salute.
Anajipigia kampeniKweli we ni mzee wa kupambania naona unajipa assist halafu unaikuta kwa mbele mkuu salute.
Haahaa ticha😆Anaweza akawa mwanafunzi wangu 😅
Ulimi na lips basiKm wee huwezi poleee, endelea kunywa mimate ya mwenzio.