KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

Lyimo tsk

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
13
Reaction score
5
Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi.

AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
 
Back
Top Bottom