PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Kwenda na wakati ni.kusuka na kuvaa mlegezo???Milokole mishamba siipendi kama nini, kwa hiyo ukiokoka ndo umeambiwa uvae magunia, kama huwezi kwenda na wakati pita hivi [emoji118]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda na wakati ni.kusuka na kuvaa mlegezo???Milokole mishamba siipendi kama nini, kwa hiyo ukiokoka ndo umeambiwa uvae magunia, kama huwezi kwenda na wakati pita hivi [emoji118]
Mimi nilisikitika sana anamtaja Mungu kwenye mambo ya kipuuziLeo nimeona picha ,yuko kwny ndege na binti mmoja,sasa jamaa akaanza kumhusisha mungu kweny mambo yake,anamsifia yule binti ni mzuri,na anamshukuru aliyepanga seat za ndege,huyu jamaa ni jipu
Wee jamaa' kuna kitu kinaitwa wearing codeKama kinachoangaliwa ni roho sio mavazi,basi roho itakiwayo ndo ikae nje,na mavazi yakae ndani ili yasionekane,,kwani mavazi huiwakilisha roho
Mnadanganyana......aende wap? Kama anaenda kubeba sembe its OKUko sahihi kabisa.
Sawa msemakweli usiyedanganya.Mnadanganyana......aende wap? Kama anaenda kubeba sembe its OK
waambie vijana waache ushamba, we live in the era of improvised generation, vitu kama hivyo ni kawaida, ulokole upo moyoni japo mavazi au tabia mbovu ni kumuaibisha Mungu wetu tuliembeba.Unaweza ukavaa suruali bwaga kama gunia la mashineni lakini kama moyoni hakuna Mungu ni buree.
Ifact kuvaa milegezo na kusuka kweli inaweza ikatia mashaka ila kuvalia kama hapo kwenye picha sijaona sana ubaya
" Chakula ni kwa tumbo na tumbo ni kwa chakula lakini roho ni kwa Bwana"
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] acha tu yani,Amri 10 tu zimetushinda bado tunaongeza..
waambie vijana waache ushamba, we live in the era of improvised generation, vitu kama hivyo ni kawaida, ulokole upo moyoni japo mavazi au tabia mbovu ni kumuaibisha Mungu wetu tuliembeba.
Masanja mbona anavaa kawaida sana....sijui kama mtoa mada amemuona K.Franklin aisee hasa akiwa jukwaani.
dunia inabadilika jamani.
Anaenda kuhubiri kwa kswahili Marekani kila wiki na nyie hamjiongezi.Masanja piga kazi na mbavu zao zikikusogelea piga nazo na sembe kama kawaLeo nimeona picha ,yuko kwny ndege na binti mmoja,sasa jamaa akaanza kumhusisha mungu kweny mambo yake,anamsifia yule binti ni mzuri,na anamshukuru aliyepanga seat za ndege,huyu jamaa ni jipu
Habari ya mda Huu..
Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo wenzetu waroma, wakatholiki, wapentekoste, kila imani inataratibu zake na miiko yake inayoheshimiwa na kila muumini wa dini hiyo.
Kwa upande wa wapentekoste, sote twajua namna miiko yao ilivyo hasa katika mavazi, tumeona kwa waroma tumeona kwa waanglikana, zaidi sana hata kwa wenzetu waislamu.Uwepo wa dini hizi umekuwa msaada sana kwa jamii hasa kuibadilisha jamii na hasa vijana kuwa na miiko na heshima.
Lakini siku za hivi karibuni, kumekuwepo na wimbi la vijana wanaokimbilia ulokole lakini matendo yao hayaendani na miiko ya kilokole, bika kupepesa pepesa kumekuwa na celebrity huyu anayefahamika kama "Massanja mkandamizaji" ama "Emmanuel Mgaya" huyu amekuwa akijiita PASTOR.
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa toka wa vijana wakilokole wakilalamika mienendo ya celebrity huyu na mavazi yake yasiyoendana na miiko ya kilokole, ki ukweki kuna wakati ukimwona ni kama kijana mwingine tu wa mitaani, kuvaa mlegezo, kusuka nywele, kofia kuvalia nyuma, hivi haviendani na miiko ya kikristo.
Kwenye jamii inaonyesha picha kuwa Anajifichia kwenye mwamvuli wa kipentekoste ili hali si mpentekoste...sasa unamdanganya nani massanja? hata moyo wako ukushuhudie kuwa UNACHOKIFANYA HAKIENDANI NA MAADILI YA KIPENTEKOSTE, KUMBUKA WEWE NI KIOO NA NI MAARUFU, HIVYO EITHER UBADILI NAMNA UNAVYOVAA AU UACHE KUTUMIA ULOKOLE KAMA KIVULI CHA MAOVU!
Unaharibu Taratibu za kipentekoste!
Ujumbe huu ukufikie mahali pote ulipo![]()
By the way ulokole wa sasa si kama ule wa zamani,ule wa kiongozi wa kiroho kuwa mnyonge mnyonge ili aonekane mnyenyekevu! Kwenye Biblia mbona kina Musa hawakuvaa michongoko wala kunyoa madevu ila wakatumika kufikisha ujumbe?Mnataka avae joho au??
Mkuu nafkiri wewe pia unataka kuchanganya mafaili! Sijaelewa concern hasa ya swali lako kwangu,na cjui pia ni wapi nlipomaanisha hicho unachokisema!Yaani hujaelewa kweli kilichoandikwa au unajitia kichwa ngumu? Ukiambiwa wazinzi hawataingia mbinguni maana yake ni kwamba asiye mzinzi ni mbinguni direct?