Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

afadhal yako ulikua mjini,sisi tulikua fulwe na bus ya upendo acha tu
 
Hapo kwenye hio video, Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]

*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???

*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???

*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???

*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???

Ruhusa kuni elimisha au kunitoa kasoro wakuu (hata kunitolea povu pia ruhusa),[emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…