Ww uwe umetumwa au umejituma au Bahat mbaya ,,hatutaingia kweny huu mtego ,,kwan hujui ni vizur Rais kuwa na ulinz mzur na usio na mashakaaaa??Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]
*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???
*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???
*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???
*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???
Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]
*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???
*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???
*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???
*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???
Yani msafara huu ni bora aliekuwa anasafiri nje ya nchi...! Magari ka anaenda kuzikaahizoo gari nimeshuhudia mwenyewe ni zaidi ya mia hiyok video ni sample
huyuu jamaa mbona analindwa namna hiyoo anaogopa nini analindwa namna hiyoo.
In camera tu chief,frame rate ya camera na shutter speed yake inafanya video ioneshe rotours ya io helicopter hai spin au sometime utaona ina spin backwards au polepole.Hio helikopta imenifurahisha sana kama vile inasimama
unajuaje kama hapo ni Arusha? unajuaje kama ni msafara wa Rais wa Tanzania? Mbona magari mia sijayaona?Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Hapo shida ni ushamba wa kinyamulengeNi haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Hapo kuna Marais wawili ujue, kila Rais ana mana watu wake ujsisahau hilo japo walipanda gari moja bado haifanyi watu Kenyata wasiwepo kwenye msafara huo.Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Ulitaka iweje? Mwaka huu utapata stress bure na vihabari vyako uchwara!Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Wivu wa kike huo!Hapo kwenye hio video, Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]
*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???
*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???
*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???
*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???
Wivu wa kikeHuu uoga dhidi ya Membe hautomuacha mtu salama!