Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

Inategemea,ujauzito kaubeba bila maafikiano,halafu anyolewe,huku aliyebambikwa,ama aliousababisha ni nje ya makubaliano,yafaa watoa huduma mjue chanzo cha hali hizo,ulizeni mtoto wangapi,Je ndoa ipo haipo,je baba na mama walikuwa wameandaa mazingira yakupata mtoto kwa ujauzito husika,je mpango wa wanandoa ulikuwa kupata watoto wangapi na katika kipindi cha muda gani?Hivyo msiwalaumu tu jueni kuwa ipo shida mahali na pia mkiweza mtoe ushauri ili hali hiyo msiendelee kukutana nayo,na sii ushauri tuu bali na elimu stahiki pia.
 
Halafu Kwanza ujue muda mwingine hiyo mimba ilipokuwa inapatika siku ya tukio mwanamke alikuwa na mivuzi kibao SA kwanini me nijihangaishe kumnyoa ilhali mwenyewe niligonga na mivuzi kibao?🀣
 
Ha ha ha ha

Sasa Mtaalam Papuchi kwanini ikutie kinyaa? Unakuwa na Agenda gani nayo?

Huku si Kutoa siri za Wagonjwa?

Ethics za madaktari zinaruhusu Kweli?
 
Hawa huku uchagani hawakubali kunyolewa na waume zao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bios ikanikosesha kuwa tabibu, si ningekua nahudumia wagonjwa kwa moyo wangu wotee.
Hongereni Ma Dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…