Ila kweli mataa yapo karibu mno ...ila uzembe wa kutoheshimu taa ndo changamoto kubwa ,Haiwezekan Highway ikawa na Taa Tazara then after mita 200 kuna taa tena Buguruni hapo foleni ni lazima...
Solution Ipigwe flyover kuanzia Tazara ikadondokee matumbi au ivuke kabisa tabata relini
Camera kwa ajili ya Nini mkuuTazara panahitaji camera ili kuleta ufanisi, kuanzia mida ya SAA 3 usiku panakuwa na shida Sana hasa Kwa madereva daladala
Kuna mtu ashawahi nambia eti wameyapangilia kwa timing, the way yanavowaka na kuzima yanasupport each other ,kwamba incase folen ni ya kawaida au haipo mtu akitoka tazara anayawahi ya buguruniI have a solution! Yale mataa ya buguruni yaondolewe wale watu wanaotokea mnyamani kwa wanaoenda mjini wavutwe na subway mpaka hapa kwenye U turn ya sheli kama unaelekea njiapanda kigogo kabla ya lile daraja njia hii iwe one way yaani kwa wanaoenda uelekeo huo.
Then mtu ataingia highway na kuja kukunja hii kona ya buguruni chama kwaajili ya kwenda mjini.
Wanaoenda kwa mnyamani kutokea hii barabara ya malapa waende mpaka kwenye taa za tazara then pale watapiga U turn na kurudi kuja kuingia kwenye hii njia hapa kwa kifupi yale mataa ya buguruni yanapaswa kuondoka.
Umeongea pointLakini pia hii miradi ya ICD haitakiwi kuwa katikati ya miji kuna mwengine anayajenga tu kule maeneo ya Yombo na kiwalani taa nyekundu na barabara ya mchicha “Tena kwenye eneo la hifadhi ya reli “ anyway si agenda hii
Malory hayatakiwi kuingia mjini mizigo isafirishwe mpaka nje ya miji hii itapelekea kukua kwa miji na kuimarisha shughuli za kiuchumi katika maeneo husika peleka ICD zote kibaha huko au chalinze na Mkuranga na Msata.
Kuna mtu ashawahi nambia eti wameyapangilia kwa timing, the way yanavowaka na kuzima yanasupport each other ,kwamba incase folen ni ya kawaida au haipo mtu akitoka tazara anayawahi ya buguruni
Japo hapo kwenye kuwahi nahisi ndo chanzo cha ajali nyingi pale serengeti mtu akitoka taifa anayawahi ya serengeti
Japo walijiongeza kituo cha daladala cha hapo mataa naona siku hizi walikisogeza mbele kidogo ..Hakuna kitu kama hicho 9/10 pale buguruni lazima akae askari maana njia ya mnyamani ni ndogo haiwezi kupokea idadi ya magari yanayotoka mjini kwa wakati mmoja yakitumia njia hiyo hiyo kutokea.
Lakini pia vile vituo vya daladala vimejengwa kizamani sana vinasababisha msongamano usikokuwa na ulazima
Umeongea point
💯💯💯💯Reli itumike na bandari pia zitumike pakiza mzigo kwenye mabehewa au upakizwe kwenye meli ndogo za mizigo shusha Bagamoyo au zile bandari nyingine ndogo za njia hii ya kusini msanga huko na kwengineko kisha pakiza kwenye malori peleka sehemu usika.
Hapa unaongeza vyanzo vya mapato unatengeneza ajira na kukuza uchumi
Japo walijiongeza kituo cha daladala cha hapo mataa naona siku hizi walikisogeza mbele kidogo ..
Ila usiku ni usumbufu wa hali ya juu either upite juu ugeuzie quality centre
Mkuu umeongea point...Huwezi kuua kituo cha mabasi buguruni lakini unaweza kufanya maboresho.Huu mfumo wetu wa kuweka vituo vya mabasi tena ndani ya highways ni mfumo wa kizamani sana .
Sehemu zote zenye circulation na tabia kama za buguruni zinahitaji vituo vya ndani tumezoea kuita terminal station hivi unaweka kituo pale external sijui mwenge sijui magomeni au manzese halafu unategemea highway itafanya kazi vizuri ?