establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,671
- 2,560
Pananuka SanaJalalani
Hivi,mnapenda tuwaite WANAFUNZI au WASOMI?Ni swali la kijinga na siyo lazima lijibiwe.1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi Machi/Aprili 2026 Kwa ajili ya kupelekwa Kwa external examination. Kila tukiuliza ni danadana. Wengi wetu ruhusa za masomo zimekwisha na mwajiri anataka cheti vinginevyo tutakosa vyote (Kazi na masters). Tuna menginya kusema kuhusu hicho Chuo ila ngoja hili lipite aisee. TUMECHOKA!
*Awali tulipaswa kuhitimu Mei 2026 (miezi 18 toka kupata admission) ila tena kwa uzembe tu, tukaambiwa haiwezekani mpaka Disemba lakini bado hakuna dalili maana hakuna anayetoa jibu la lini tutapata matokeo yetu. Ukienda kuulizia ofisi ya Mratibu wa Postgraduate unaambuliwa kunangwa tu.
Huyu ndiye mwanafunzi wa Masters Degree kutoka UDSM!!!!!!!!!!Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Unamuonea gere kwa namna anavyoandika kwa madaha?Huyu ndiye mwanafunzi wa Masters Degree kutoka UDSM!!!!!!!!!!
Jamaa anajua kuandika sana!!!!!!!!!!!Hii ndiyo Masters sasa!!!!!!!!!!!!!Unamuonea gere kwa namna anavyoandika kwa madaha?
Wewe ni kama mimi. Niliapa kusoma Udsm na chuo chochote kile kikuu cha serikali ambako kumejaa wakufunzi miungu watu na wanaofanya kazi zao kwa mazoea.Vyuo vyote ukasome masters UD? Nilipachoka nilipo maliza Bachelor
Wanafunzi wakiwa masomoni wakishamaliza masomo yao na ku-graduate wanaitwa Wasomi.Hivi,mnapenda tuwaite WANAFUNZI au WASOMI?Ni swali la kijinga siyo lazima lijibiwe.
😁😁Muhimu umepata maarifa, maisha ni elimu ya amali.
Local Government University of Dar es salaam.UDSM limebaki jina tu lakini hakuna kitu pale. Ubaguzi, ukabila, ukiritimba, ufisadi yaani utafikiri mijitu haijasoma. Eti ndiyo flagship ya nchi. Jalalani 100%
Mara ya mwisho ulipokuja ofisini na wenzako watatu nilikwambiaje?1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi Machi/Aprili 2026 Kwa ajili ya kupelekwa Kwa external examination. Kila tukiuliza ni danadana. Wengi wetu ruhusa za masomo zimekwisha na mwajiri anataka cheti vinginevyo tutakosa vyote (Kazi na masters). Tuna mengi ya kusema kuhusu hicho Chuo ila ngoja hili lipite kwanza. TUMECHOKA!
*Awali tulipaswa kuhitimu Mei 2026 (miezi 18 toka kupata admission) ila tena kwa uzembe tu, tukaambiwa haiwezekani mpaka Disemba lakini bado hakuna dalili maana hakuna anayetoa jibu la lini tutapata matokeo yetu. Ukienda kuulizia ofisi ya Mratibu wa Postgraduate unaambuliwa kunangwa tu.
Mambo kama haya ndiyo yalitufanya watu tuape kuwa hatutasoma UDSM.1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.