KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

Ulibahatika sana kusoma shule kwa watu wanaojielewa, huku mpaka mentality ibadilike ndio mabadiliko tutayaona nje hapo tuna safari ndefu sana kufika.
 
TZ hapa hata Secondary ukiwa unabishana na mwalimu, kuna walakini wa kufeli somo lake.
 
Tz hawaamini ktk individual ability na giftedness. Wanaamini nikikutangulia kitaaluma manaa yake huna uhalali wa kunikosoa, hata kama ni hoja. In short patakaa sawa labda baada ya miaka 30 au 40 ijayo maana waliopo ni conservatives. Hasa hapo udsm.
 
Elimu kiasili ipo kawaida sana na itafanikiwa kama michakato ya elimu ikiwa rafiki. Cha ajabu maarifa yanamilikiwa na hao Prof na lecturers na kuyaaminisha kuwa ni magumu kupata ktk muda muafaka. Lecturers wengi hawatoi guidance zaidi ya ubabe tu.
 
Tz hawaamini ktk individual ability na giftedness. Wanaamini nikikutangulia kitaaluma manaa yake huna uhalali wa kunikosoa, hata kama ni hoja. In short patakaa sawa labda baada ya miaka 30 au 40 ijayo maana waliopo ni conservatives. Hasa hapo udsm.
Tatizo miaka 30 iliyopita nilikuwa nafikiri watabadilika miaka 30 ijayo, ila kinachotokea sasa inaonekana wanarithishana ujinga kwa kasi kubwa kuliko wanavyoweza kubadilika.

Matokeo yake kasi ya kibadilika inakuwa ndogo sana.

UDSM miaka ya 1960s na 1979s wamesoma waliokuwa wanamapinduzi wakati huo kina Yoweri Miseveni (1967 -1970), ukisoma walichoandika katika vijarida vyao kama "Cheche" utasema hawa ndio vijana tunaowahitaji kuongoza Africa.

Ukiangalia madudu wanayofanya sasa hivi, utajiuliza, wale vijana wanamapinduzi wameenda wapi?

Wote wamerithishwa ujinga polepole mpaka wamekuwa watu tofauti kabisa.
 
UDASA inapaswa ijitathimini yenyewe kuhusu hatma ya UDSM, maprofesa na madokta wabobevu wanakimbilia katika siasa na biashara wakati huo huo kuna changamoto nyingi za kitaaluma kama hizi zikizidi kuongezeka kila kukicha.

Accreditation ya chuo hiki bado ipo juu kutokana na historia yake ya kutoa watu wengi wenye hadhi kubwa ya kitaifa na kimataifa. Lakini itazidi kuporomoka kwa kadiri vitendo vya kipuuzi kama hiki vikizidi kutamalaki.

Kazi kubwa ya "federation/thesis" inafanywa na "supervisor" kinachofanywa "external supervisor" ni kuihakiki kwa kuangalia "typographic errors & pragmatism (if any) before the final submission". Sasa zoezi hili linachukua miezi mingapi kwa document yenye kurasa 120 - 1,500 tena kwa kupitia teknolojia ya kisasa!!??
 
Kama wewe ni mhitimu wa Master's una shida! Yaani dissertation zinapelekwa "Kwa external examination"...!!? Kwanza External examination ni nini? Btw naamini degree yako ya kwanza hukupata kutokea Udsm...Pole sana Teacher!
 
Sure. Pale maarifa yamehodhiwa bahati mbaya hawataki kubadilika na wanaendelea kurithishana.
 
Inauma Sana, chuo changu hiki,
Nilikuwa naamini taasisi pekee iliyobaki yenye watu wanatumia bongo, ni jwtz,lakini nilipomuona CDF anaenda kuzindua ukumbi wa jeshi wa mikutano! Ni kajua hapa hakuna kitu tena, ni mediocre ndio wamebaki kwenye uongozi,
UDSM ni jararani, alisema Kabudi,UDSM haikuwahi kukana,
LA Saba, mtiani anafanyiwa, secondary anapewa majibu,chuo anajiuza, au anatomy pesa apate shahada, ananunua masters, PHD, anakuwa profesa,unategemea atazalisha wasomi wa namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…