KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

Duh!..Elimu imefikia hapa?..
 
Hii nchi ina vituko sana.

Samia ametunukiwa PhD za heshima mfululizo kutoka vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM na SUA, na taratibu zote na sherehe zilikamilika ndani ya wiki chache tu.

Kama mifumo yetu inaweza kwenda kasi kukidhi itifaki za kisiasa, inashindwaje kwenda kasi kuidhinisha matokeo ya watoto wa maskini wanaovuja jasho na kulipia ada?

Bora ungesoma online mkuu.
 
Pale kum
Pale kumejaa wapumbavu watupu
 
Somo kubwa sana hili. Ila UDSM
 
Mnapoteza muda graduate school case studies 20 tu? AI inaprocess millions daily, technology imewaacha nyuma sana, labda mta manage mabanda ya kuku mkiwa na bahati
 
mkuu, huwezi amini undergraduate nilipewa supp kisa demu wangu kamkataa lecturer na Research ilibidi nirudie mwaka uliofata wenzangu wakiwa wameshagraduate. kila nikikumbuka huwa nawaza mengi sana kuhusu hivi vyuo vyetu nakosa majibu.
 
Sasa msomi wa Masters analilia Mahafali kama watoto wa chekechea, mmehitumu nini huko? Mbona kama mnastahili kunyimwa hayo matokeo!
 
Hakuna kitu kinaitwa Masters !Ni

Master degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…