jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Wengine tuna bahati zetu,no tumepewa na hatupigi na tunatafutwa vile vile!!Yani umeniinua kwa mbwembwe na nyodo halafu na namba nikupe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine tuna bahati zetu,no tumepewa na hatupigi na tunatafutwa vile vile!!Yani umeniinua kwa mbwembwe na nyodo halafu na namba nikupe!!
5 na 33 hakuna maridhiano hapo kila mtu akae kwake kwa amani tu,bora ingekua siti za next door to door!!Niliikuta pisi kali sana imekaa kwenye siti yangu, nikaiuliza kistaarabu na yenyewe ikanijibu kistaarabu kabisa siyo siti yake.
Kwa ule ustaarabu wangu akafikiri hili nalo ndo wale wale, akanielekeza siti yake huko nyuma nikamwambia haiwezekani!! Sipendi siti za nyuma huko thus why nimechagua hapa.
Akapandisha sauti kwa kutoa maneno ya kejeli kunilainisha nikubaliane nae, nikamsikiliza alipomaliza nikamwambia kistaarabu kabisa kuwa "dada, ulikata siti kwa pesa yako, uhitaji wako, matumizi yako na chaguo lako, nami pia hivyo hivyo. Tuheshimu tuliyoyafanya." Akanyanyuka kimya kimya!!
Siangaliagi sura lakini pia afadhali tungekuwa siti za pamoja! Imagine aje akae siti namba tano eti nikakae siti yake namba 33 huko!!
She was not serious kwa kweli!
Kwa sasa ticket zinauzwa online na ukiingia kwenye hizo site za mabasi unaona siti zilizobakia,changamoto inatokea kwa wale wanaokata tiketi kwa vishoka hawa ndio hua wanaleta hizo shida kwakua wanauziwa ticket ambazo hazipo,nilikwisha kuta huo ugomvi kwenye mabasi na haswa kutokea mikoani kuja mijini at least toka mijini kwenda mikoani haipo sanaMna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea .
Binafsi hili jambo lina nikera sanaa na ubaya huwa siwezi kumwambia mtu atoke kwenye siti yangu kuepusha maneno.
Ila watanzania mjaribu kuwa wastaarabu kama una jijua umechelewa kukata ticket na uja kata ya dirishani ni kheri uombe au ukae siti yako sio una jiwahisha mapema afu una jiona mjanjaa kumbe jinga tu.
Mhubiri 7:9.huwa nakasirika sanaa niki kuta mtu kakaa kwenye siti yangu .hii tabia ina kwaza sana
Dawa ni kwenda na usafiri wako, utakua umeepuka hili.huwa nakasirika sanaa niki kuta mtu kakaa kwenye siti yangu .hii tabia ina kwaza sana
Kwanini mkuu?Sijawahi kuzielewa siti za dirishani. Yan nikae dirishani karibu na kioo halafu pembeni yangu tena aje akae mtu mwingine. Nooo
Sipendi tu na nadhani mazoea yameshaniharibu tayari. Huwa sipendi kubanwa banwa. So nikikaa dirishani let say upande wa dereva ina maana kulia dirisha na kushoto kuna mtu whili nisipokaa dirishani, kulia kuna mtu na kushoto kuna space ya kutembea watu. Halafu pia mi napenda ile hanger ya mkono inayokua kwenye siti.Kwanini mkuu?
Ukikutana na mimi kwa mara ya kwanza utajiona bahati hiyo hunaWengine tuna bahati zetu,no tumepewa na hatupigi na tunatafutwa vile vile!!
Na wwe ukikutana na mimi no utatoa mara moja, tena wwe ndiyo utaniambia ebu ni bip kama sijakosea!!Ukikutana na mimi kwa mara ya kwanza utajiona bahati hiyo huna
Ofcoz mi nakwambia siti nipishe aseeee
Sio mimiNa wwe ukikutana na mimi no utatoa mara moja, tena wwe ndiyo utaniambia ebu ni bip kama sijakosea!!
Tuko kwenye mgomo wa kutumia ATCLjf kuna watu mnapanda bus si mlisema mnatumia ndege
ME NAPENDA KATIKATIMimi napenda mbele sipendi nyuma