Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi ndugu yangu.Nenda kwenye ofisi ya Ardhi ufuatilie hati yako.Kama unazungushwa nenda kwanza kwa Kamishna.Usiposaidiwa kuna dawati la malalamiko kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa utapata msaada.Haki haipotei na kupewa hati yako ni haki yako
KunsNimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
Kuna mama mtoto wake alibakwa, na alipofika polisi walimfukuza na kumtishia kumuua. Wabakaji wapo mtaani, mtoto ameharibika na yupo ana pata matibabu. Makonda amesimamia hili suala, wabakaji wamekamatwa wapo ndani wanasubiri kulelekwa mahakamani. Polisi waliokula rushwa wametambuliwa wanasubiri mkono wa sheria.Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
Endelea kufuatilia. Wewe huna impact yoyote kwa maelfu ya wananchi wanaoteseka.Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
Brother/sister inaonekana wew ni mtumishi wa umma,tunajua tabia zenu za udhaifu wa sheria kutumika kama chanzo cha mapato pembezoni na mshahara(side hustle).Kiufupi mmejaa rushwa na ukiritimba wa hali ya juu!Yafaa tu muelewe kuwa 'when injustice becomes law,resistance becomes duty' eenh na hivyo wala msimlaumu Makonda.Hebu tendeeeni sheria hizo HAKI muone kama kuna mtu atamsujudia mtu,so ninyi endeleeni na viRUSHWA uchwara kwenye makorido ya offices zenu na Makonda mmuache aendelee kujaribu kuangusha jumba bovu atakapochokea hapohapo😅Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
RCs wengi wanasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kama anavyofanya RC Makonda. Mfano, hapa Mkoani Mwanza RC anasikiliza kero za wananchi na Watumishi Jumanne na Alhamis. Lakini kwakuwa ni Makonda LAZIMA mseme!Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
Hata mimi naona hivyo. Msaada ambao angeutoa kwa sasa ni kwa wale walioathiriwa na mafuriko na hizi kero nyingine zinahitaji mfumo wa utatuzi wa matatizo na siyo approach yake kwa sababu ana'deal' na wale tu wanaoweza kusafiri kwenda kwake na wengine wasioweza shida zao hazina mtu wa kuzotatua. Lakini akiweka mfumo wa utatuzi wa kero za wananchi, Kila mmoja atanufaika hata kama atakosa nauli. Mfano, angesaidia mchakato wa bima ya afya kwa wote na Ile inayotolewa kupitia shuleni (ya wanafunzi), matibabu kwa akinamama wajawazito, wazee na watoto wachanga, nasikia ni bure! Angehakikisha Arusha unakuwa mkoa wa mfano kwa utekelezaji. Hii ndiyo Ile ninayosema kushughulika/kuboresha mifumo ya huduma za jamii inayowanufaisha wote.Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
Ni mfumo upi uliowahi kufanya kazi nchini!?,huo mfumo utasimamiwa na nani!?,watu wamepoteza haki zao na mahakama,polisi na watendaji wamejaa rushwa. Kwenye hii thread hata wapinzani wa Makonda wameikimbia maana wanajua uhalisia kuwa Makonda amesaidia wengi mkoani Arusha ndani ya muda mfupi. Mtu mwenye shida hajali ni nani atatatua tatizo alilo nalo, mnaoleta blabla za Sheria na mifumo hamjakutwa, pengine ni watoto wa vigogo mpo kwenye smartphones zenu mnaongea tu. Nchi hii imejaa rushwa kila mahali, watu wananyimwa haki zao za msingi sababu ya rushwa kila mahali. Tatizo watu wamelishwa chuki za kisiasa hadi wanashindwa kuona uhalisia wa mambo mitaani.Hata mimi naona hivyo. Msaada ambao angeutoa kwa sasa ni kwa wale walioathiriwa na mafuriko na hizi kero nyingine zinahitaji mfumo wa utatuzi wa matatizo na siyo approach yake kwa sababu ana'deal' na wale tu wanaoweza kusafiri kwenda kwake na wengine wasioweza shida zao hazina mtu wa kuzotatua. Lakini akiweka mfumo wa utatuzi wa kero za wananchi, Kila mmoja atanufaika hata kama atakosa nauli. Mfano, angesaidia mchakato wa bima ya afya kwa wote na Ile inayotolewa kupitia shuleni (ya wanafunzi), matibabu kwa akinamama wajawazito, wazee na watoto wachanga, nasikia ni bure! Angehakikisha Arusha unakuwa mkoa wa mfano kwa utekelezaji. Hii ndiyo Ile ninayosema kushughulika/kuboresha mifumo ya huduma za jamii inayowanufaisha wote.
Tatizo hili limewagubika vijana wengi wa sasa, yaani wao akili zao hazichakati mambo, wanawaamini zaidi wanasiasa wa vyama vyao kuliko akili zao. Wewe umeambiwa fulani ni mbaya hafai, badala ya kuchunguza hizo tuhuma kama ni kweli unaanza kumchukia bila sababuNikichogundua kwa haraka haraka wewe unamchukia makonda, tena unamchukia bila sababu, nahii chuki umepandikizwa au umefata mkumbo.
Siku ukiwa na uwezo wa kumanage kile unacholishwa na mitandao na wanasiasa hutarudia kuandika ulichoandika hapa.
Kama hakuna mfumo unaofanya kazi, then inabidi uwepo. Individual initiatives za viongozi ni short-lived (siyo endelevu) kwa sababu Kila kiongozi atakuwa na vipaumbele vyake. Mfano, wewe unaweza kuwa kiongozi wa sehemu A ukafanya jinsi unavyoweza kuwasaidia wananchi, kisha ukahamishwa. Kama ulianza na migogoro ya ardhi, akija mwingine anakuja na kipaumbele cha unyanyasaji unaofanywa kwa watoto (taifa la kesho) na inabidi tuwekeze kwa watoto. Huyo akihamishwa, atakuja mwingine ambaye kipaumbele chake ni kukabiliana na tabia ya nchi, ambayo Ina madhara kwa watu, mazingira na mali zao na kuna vipaumbele vingi zaidi ya viongozi wanaoweza kwenda mahali. Bila kuwa na utaratibu unaofanya kazi na ambao unatusaidia wote kila mara tutakuwa tukianza maana huyu atakuja na hiki na yule atakuja na chake. Mfano, ni kitu gani alipokuwa Dar es Salaam akakianzisha, ambacho kinaendelea? Taja kimojawapo. Siyo kwamba anachokifanya ni kibaya, hapana, ila ingefaa tuweke mfumo wa kufanya hayo yajiendeshe yenyewe bila kusubiri mtu fulani. Mataifa yaliyoendelea yana mifumo inayosadia mambo yao yafanyike kwa ufanisi zaidi. Let's aim at that! Tuachane na short-lived initiatives. Twende kwenye long-term workable systems. Tuachane na "kuwapa watu samaki" (maana watakuwa tegemezi), twende kwenye "kuwafundisha kuvua samaki" (ili wavue wenyewe, wajitegemee). Je, wewe ungechagua kuwa tegemezi?Ni mfumo upi uliowahi kufanya kazi nchini!?,huo mfumo utasimamiwa na nani!?,watu wamepoteza haki zao na mahakama,polisi na watendaji wamejaa rushwa. Kwenye hii thread hata wapinzani wa Makonda wameikimbia maana wanajua uhalisia kuwa Makonda amesaidia wengi mkoani Arusha ndani ya muda mfupi. Mtu mwenye shida hajali ni nani atatatua tatizo alilo nalo, mnaoleta blabla za Sheria na mifumo hamjakutwa, pengine ni watoto wa vigogo mpo kwenye smartphones zenu mnaongea tu. Nchi hii imejaa rushwa kila mahali, watu wananyimwa haki zao za msingi sababu ya rushwa kila mahali. Tatizo watu wamelishwa chuki za kisiasa hadi wanashindwa kuona uhalisia wa mambo mitaani.
Hapo RC amevunja sheria ipi?Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria ulikwishapitiwa.
Mimi naona wananchi wengi wanapoteza muda wao na hawatasaidiwa chochote na Mkuu wa Mkoa ni vema wakafuata taratibu za kisheria. Hata yule Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha alioagiza ahamishwe, mimi naona siyo utawala bora kusema mbele ya watu kuwa ahamishwe.
Usitafute popularity ambayo haisaidii. Najua wananchi wana kero nyingi na wanaonewa lakini ni hakuna budi sheria zifuatwe kutatua kero hizo.
Kama anataka Konda aagizwe anyongwe basi ajaribu🤣Huu ushauri wako ungekuwa mzuri zaidi kama na wewe ungekuwa unaenda kuutoa kwa wananchi pindi ambapo makonda anaongea nao na wewe unashauri hivi,utasaidia zaidi. Kuliko kukaa nyuma ya keyboard unaongea pumba ambazo hazionyeshi kuwasaidia hao wananchi