Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
henda ni ka harufu ka ka beberu la mbuziShombo la dagaa sijui
Itakuwa mzoga wa jisukuma pale ch....to unawaandama wananuka...
hahahahafull kukugusagusa a
Haujajibu swali. Uchaggani hakuna wachafu?Hata kama lakini unaposafiri oga basi husikere wengine
Baadhi ya wasukuma wajuaji sana , afuu hii tabia ya uchafu wanayosana hujakosea mkuu, kuna mmoja nilipanda nae gari kuna siku kafika njiani kanunua maembe ni anakula kichafu, na akianza kuongea nasimu ndio kero kabisa.
Ruti ambazo nimesafiri Bongo hii na ni za kistaarabu ni Dar_Bukoba,Dar_Moshi,Dar_Arusha kwingine huko ni kuvumiliana,bora kufika salama[emoji2][emoji2]
bolizozoLast week natoka mwanza kuja dodoma nimekaa na jamaa anakera kweli kweli kwenye siti yeye na mtoto wake kufika hadi kunitapikia.
Tuligombana sana hadi nafika mwanza, leo narudi mwanza kwenda dodoma kuna kijana kapandia njiani kaja kukaa siti ya pembeni yangu yaani kwanza ananuka sana pili ni msumbufu hakupi nafasi upumzike full kukugusagusa alafu ni wakiume yaani anakera hatulii kwenye siti mara akulalie yaani dah safari unakerwa hadi unafika.
Halafu mtu hajali wala nini yaan dah wasukuma mna shida gani aisee
Mlaumu baba ako kutokukuta hata ka usafri ka kukusogeza mikoani
Acha ukabila na tabia za kimasikn, brevis ya m3Kupanda magari ya uma kuna muda unatamani kukutana na watu mbadirishane mawili matatatu maisha yaende lakini huku usukumani ni tofauti mnazingua sana alf kuhu kausafiri nashuku nina ka brevis kananisogeza so kaa kwa kutulia ngosha