Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

Status
Not open for further replies.
[emoji3][emoji3] mkuu hii tangu 2020 namaliza chuo saivi dadaako ananililia nipo na kazi ya maana tu [emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1] unasema umemaliza chuo 2020 sio?

Hio thread hapo chini uliandika Feb,2020 na ukasema ulikua na miaka 4 umeshamaliza chuo ukawa unalia Lia tu na mtaa [emoji1][emoji1][emoji1]
IMG_20220124_151942.jpg
 
Sisi wasukuma wengi ni washamba. Tumeshazoea kushinda na mang'ombe tunaomba mtuzoee tu mkuu. Kadiri siku zinavyoenda tutajirekebisha.

Ila mwambie jamaa akae kwa kutulia aache kuhangaika kama kuku anaetafuta pakutagia. Mwambie "Ngosha, kaa kwa password".
Wewe mtu wa Arusha na usukuma wapi na wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu huwa sio wastaarabu na ni wachafu tu by nature. Hivi unasafiri vipi safari ndefu hivyo hujaoga na kuvaa nguo safi!!
 
Mimi nataka nimsaidie kwa kumuoa maana mabinti Kama yeye tena na alivyo mweupe nitatoa ng'ombe sabini kwa baba yake ili niukomboe ukoo.
Hahah muoe tu mkuu,utakua umemsaidia kupunguza umaskini kwny ukoo wake.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] unasema umemaliza chuo 2020 sio?

Hio thread hapo chini uliandika Feb,2020 na ukasema ulikua na miaka 4 umeshamaliza chuo ukawa unalia Lia tu na mtaa [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2093922

Chuo kina levels boya we [emoji3] nimetoka bachelor nkaendelea masters now nimemaliza kaa kwa kutulia
 
Sisi wasukuma wengi ni washamba. Tumeshazoea kushinda na mang'ombe tunaomba mtuzoee tu mkuu. Kadiri siku zinavyoenda tutajirekebisha.

Ila mwambie jamaa akae kwa kutulia aache kuhangaika kama kuku anaetafuta pakutagia. Mwambie "Ngosha, kaa kwa password".
Umeshapanda Basi liliojaa wamasai au wamang'ati mzee?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Chuo kina levels boya we [emoji3] nimetoka bachelor nkaendelea masters now nimemaliza kaa kwa kutulia
[emoji1][emoji1][emoji1] umaskini Ni Kitu kibaya sana,wewe Hata puru utatoa tu ili upate kazi.
IMG_20220124_153228.jpg
 
Kuna watu huwa sio wastaarabu na ni wachafu tu by nature. Hivi unasafiri vipi safari ndefu hivyo hujaoga na kuvaa nguo safi!!
Ukisafiri kutoka Mwanza to Musoma to Majita ndio utajua ujima bado upo duniani.
Abiria wanaongea kwa sauti kubwa, TV inaonesha nyimbo za kilugha, kinachooneshwa hakijalishi Kuna watoto au la, mtu anaweza akatukana Matusi ya nguoni kwa sauti anaona Sawa tu.
Wanakula hovyo na kuchafua gari, huyu anatafuna muwa, anayekula karanga, chini ya siti Kuna tenga la samaki wabichi wanatema kinoma, daa.....
 
Hivi ma bus ya Zakaria bado yapo?
 
Umeshapanda Basi liliojaa wamasai au wamang'ati mzee?[emoji1][emoji1][emoji1]
Sana tu arif nimepiga route nyingi sana za Kiteto, Naberera, Orkesmet. Uzuri wa hizo route sio za kisharo unaenda ukiwa kikazi ukiingia ki sharo unatoka kama ulikuwa kwenye zizi.

Nimewazoea hao ndugu zangu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Safi sana erooooo,unaji adjust kulingana na mazingira.
 
Eeeh huko safari zake zinajulikana. Tena usiombe upate siti za nyuma (ubalozini) ukishuka kwenye gari unakuwa kama msukule. Halafu unakuta umekaa na mama wakimasai ananuka mbolea kama ng'ombe. Shuka ina miaka haijafuliwa yeye mwenyewe hajaoga hajui lini mara ya mwisho.
 
Ukisafiri na treni halafu ipitie maeneo yenye wasukuma kwenye hilo behewa utahisi upo kwenye zizi la ngombe halafu wenyewe hawana hata shida ni story tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom