Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

Status
Not open for further replies.
Ni kawaida ya wanaume wahangaikaji hio,nyie wanaume wa dar simnanukia zile body spray zimeandikwa 'fighting temptation.'

Wote tunahangaika ndio mana hatutulii majumbani kwetu lakini swala la usafi lipo palepale husitetee upuuzi
 
Ruti ambazo nimesafiri Bongo hii na ni za kistaarabu ni Dar_Bukoba,Dar_Moshi,Dar_Arusha kwingine huko ni kuvumiliana,bora kufika salama[emoji2][emoji2]
 
Baadhi ya wasukuma wajuaji sana , afuu hii tabia ya uchafu wanayosana hujakosea mkuu, kuna mmoja nilipanda nae gari kuna siku kafika njiani kanunua maembe ni anakula kichafu, na akianza kuongea nasimu ndio kero kabisa.
 
[emoji3][emoji3] noma hawa wajuba
 
Ruti ambazo nimesafiri Bongo hii na ni za kistaarabu ni Dar_Bukoba,Dar_Moshi,Dar_Arusha kwingine huko ni kuvumiliana,bora kufika salama[emoji2][emoji2]

Kweli usemayo kuna muda unatamani kusafiri na usafiri wa uma ili ujichanganye na watu lakini mambo yenyewe ndio ya ovyo tunakutana nayo [emoji3]
 
Mlaumu baba ako kutokukuta hata ka usafri ka kukusogeza mikoani
 
bolizozo
 
Mlaumu baba ako kutokukuta hata ka usafri ka kukusogeza mikoani

Kupanda magari ya uma kuna muda unatamani kukutana na watu mbadirishane mawili matatatu maisha yaende lakini huku usukumani ni tofauti mnazingua sana alf kuhu kausafiri nashuku nina ka brevis kananisogeza so kaa kwa kutulia ngosha
 
Acha ukabila na tabia za kimasikn, brevis ya m3
 
Wewe jamaa ni chizi unalazimisha maisha ya kifahari wakt wewe ni masikini,masikini siku zote inatakiwa mvumiliane,mfano nyumba ya kupanga wapangaji 20 choo kimoja,chumba kimoja mnalala watu 3 hadi 4,darasani watoto wa masikini wanakaa 80 hadi 90 shule za st kayumba,kwenye basi mnakaa 65 hadi 70....

Chakufanya tafuta pesa uepuke umasikini,ukiwa na pesa utakodi basi zima peke yako,si ulisikia yule dada wa morogoro? Utapanda ndege business class ule bata mamaeee na kikubwa zaidi utanunua range rover sport uendeshe mwenyewe unache kubanana mjinga wewe,

Kwahy we fala endelea kutafuta pesa ili uishi kifalme ila kama huna pesa kwasasa ishi kwa kuwavumilia masikini wenzako..maaana ukiwabangua kwenye basi utaenda ukalie kijiko kwa mama ntilie ambacho kamaliza kulia mwenzako na kikasuswa maji mara moja tu.

Remember u little bitch .....THERE IS NO NOBILITY IN POVERTY.

Mbanguzi sana wewe masikini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…