Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

Status
Not open for further replies.

[emoji3][emoji3][emoji3] natoka nyumbani kwenda kujitegemea kuepuka mabalaa kama hayo nimechukua nyumba nzima dodoma kwa kodi kubwa tu ili kukimbia watu wa ovyo kama nyie so mimi sina maisha ya kifahari ila sipendi bugudha za wanadamu , na mnapoambiwa ukweli jaribuni kujifunza muwe na nidhamu sio mnawaka ukweli nilikuwa nasikia habari za ovyo za wasukuma leo ndio najionea mwenyewe [emoji3]
 
Wote tunahangaika ndio mana hatutulii majumbani kwetu lakini swala la usafi lipo palepale husitetee upuuzi
Mwenzako ananuka wakati na wewe mchaga hujui kuandika kiswahili,HUSITETEE maana yake Nini?
 
Mwenzako ananuka wakati na wewe mchaga hujui kuandika kiswahili,HUSITETEE maana yake Nini?

Hahaha uelewi maana ya husitetee [emoji3][emoji3] ngosha namna gani wewe
 
Mleta mada ni wakupuuzwa, tafuta gari lako ili kuepuka kero
 
Aisee hili basi ni noma now wamesimama porini wanakojoa dah [emoji2307] uchafuzi wa mazingira huu na yenyewe hayajali hata [emoji3]
 
Nafikiri uliokutana nao ni bahati mbaya tu hasa wanaotoka mjini Mwanza ni wastaarabu.
 
We binti njoo nikuoe nitatoa ng'ombe 70 maana usukumani tunapenda wanawake weupe kama wewe..

Remember you little bitch THERE IS NO NOBILITY IN POVERTY....SO BREAK UP THAT VICIOUS CYCLE OF POVERTY YOU OWN.
 
We binti njoo nikuoe nitatoa ng'ombe 70 maana usukumani tunapenda wanawake weupe kama wewe..

Remember you little bitch THERE IS NO NOBILITY IN POVERTY....SO BREAK UP THAT VICIOUS CYCLE OF POVERTY OF YOUR'S.

[emoji3][emoji3] ngosha oga vizuri kabla kusafiri husikere wengine
 
[emoji3][emoji3] ngosha oga vizuri kabla kusafiri husikere wengine
Nakupuuza kuanzia sasa sikujua naongea na kilaza.

Remember you little bitch,,,THERE IS NO NOBILITY IN POVERTY....SO BREAK UP THAT VICIOUS CYCLE OF POVERTY YOU OWN.
 
Yawezekana mkuu huyu mana kapandia kati huko

Wanaotoka Mwanza wanajielewa ndio maana nimeandika ilikuwa ni bahati mbaya tu ......usiombe ukutane na wa ndani ndani huko looh utajikuta safari nzima unatema mate njiani.
 
Nakupuuza kuanzia sasa sikujua naongea na kilaza.

Remember you little bitch,,,THERE IS NO NOBILITY IN POVERTY....SO BREAK UP THAT VICIOUS CYCLE OF POVERTY YOU OWN.
Na anateseka na umaskini sio utani.
 
Wanaotoka Mwanza wanajielewa ndio maana nimeandika ilikuwa ni bahati mbaya tu ......usiombe ukutane na wa ndani ndani huko looh utajikuta safari nzima unatema mate njiani.

[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja tuishi nao ivyoivyo tu
 
Wanaotoka Mwanza wanajielewa ndio maana nimeandika ilikuwa ni bahati mbaya tu ......usiombe ukutane na wa ndani ndani huko looh utajikuta safari nzima unatema mate njiani.

[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja tuishi nao ivyoivyo tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…