Kero za kudate mume wa mtu

Mgane fresh japo nae hana jema,ukipika pilau anaanza kulifananisha na la marehemu mkewe,....hivi Legend ina maana kweli hamna late 40z ambao ni ma senior bachelor kweli?
Upate kabisa senior bachelor yupo 45? Huyo hata kwa ndoa mtasumbuana tu, coz ameshazoea ubachela kiasi kwamba uwepo wako utampa shida sana.🤣
 
🤣🤣🤣ni kweli ulikuwa una date mdogo wake au uliamua kumchanganya adui?
Shauri zake
Mdogo wake alikuwa rafiki yangu sana ni kweli aliwahi kunitongoza na hatukufikia muafaka

Nikamwambia kwani hakukuambia?
Yaani alichanganyikiwa,,akaomba hayo mambo aliyoniambia nisimwambie mtu yeyote.

Hajawahi kurudia tena😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Anne, wee mkaliiii, khaaaah
 
Alikoma🤣🤣
Jibaba jitu Zima linanidanganya
Ooh yaani nikiwa na wewe ni binti mzuri sana mwenye heshima...yaani kwenye familia yenu wewe unanivutia zaidi una heshima sana
Eti ntakutunza kama mtoto wangu
Ntakupa kila kitu
Nyie mibaba mjiheshimu..

Mimi mtu anayenidanganya Kwa vitu ndio namuogopa zaidi Kwa sababu sishawishiki Kwa mivitu.
 
Ha haaaa we hutaki kulelewa kama baby wake ule maisha?
 
Jamani, yaani wewe Joannah ndo umepitia haya ya ku date na wanaume waliooa 😱siamini. I knew you are as innocent as a virgin😬sasa sijuwi nafanyaje maana mipango yangu kwako ndo ishaparaganyika
 
Wapo bwana!mimi mbona wangu wa peke yangu nimempata above 35,naye alikuwa senior bachelor hata sio mzee...mimi ni mmiliki halal natamba nae,usikatishe tamaa wadada we mzee
Kwamba yupo na wewe tu? Hahaha!! Labda kama nguvu zimepungua yupo 60s huko, ila kwa huyu mtanzania wa kawaida mwenye 40s na hela ya wese, mboga na ya kukaa kwa wallet ipo....🤣🤣
 
Ha haaaa we hutaki kulelewa kama baby wake ule maisha?
Sitaki kula ada za watoto wa watu aisee
Ni dhambi sana

Ukinipa hela ni sawa
Ila sina Cha kulipa aiseee
Yaani sina malipo...

Jamani mijibaba mnajileta
Mwingine anakuja na fix za kukusaidia biashara..nisaidieeni tu na Mungu awabariki ila mtanisaidia kama mdogo wenu.
Malipo ni maombi Kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…