cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ila extro jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio asijizime data[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila extro jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio asijizime data[emoji1787]
Na wanaachwaga vibaya Sana kama takatakaKuna wanapenda usafi Sana akisikia Una -mcheat anaweza kukuacha kwa mambo Kama haya
Kumletea magonjwa
Kumletea nuksi na mikosi
Kumkosesha Amani ya moyo
That is reason why michipuko wanakuwaga na mwisho mbaya.
I speak from experience
Kumbe njuruku zako zimeumana na roho ...Sogea tu kwa wandewa tusogeze siku 🤣Weeeee nilivyo Manka kulea mtoto wa mwanamama mwenzangu hell no!!vitoto hapana kabisa extro!
Hebu shangaa na weweEti hadi kamuoa hajagundua kama umri tofauti kwelii?😁😁
Upate kabisa senior bachelor yupo 45? Huyo hata kwa ndoa mtasumbuana tu, coz ameshazoea ubachela kiasi kwamba uwepo wako utampa shida sana.🤣Mgane fresh japo nae hana jema,ukipika pilau anaanza kulifananisha na la marehemu mkewe,....hivi Legend ina maana kweli hamna late 40z ambao ni ma senior bachelor kweli?
Hahahahah ujakikosa bana mficha mbunye hafaidi mpaka siku ya bleed🤣Basi hapo kibunda nimekikosa
Sasa ukubaliane na mazingira, above 35 hakuna me wa peke yako, hata hivyo sharing is caring 🤣Abstain ngumu jamani,....hasa ukiwa unakula balanced diet
Shauri zake🤣🤣🤣ni kweli ulikuwa una date mdogo wake au uliamua kumchanganya adui?
Alikoma🤣🤣Shauri zake
Mdogo wake alikuwa rafiki yangu sana ni kweli aliwahi kunitongoza na hatukufikia muafaka
Nikamwambia kwani hakukuambia?
Yaani alichanganyikiwa,,akaomba hayo mambo aliyoniambia nisimwambie mtu yeyote.
Hajawahi kurudia tena😂😂😂
Halafu ile call nilirekodiAlikoma🤣🤣
Yeah! Kuna uchi na uchi sugu! You chose yours!Oooh!kwani umebadilika jina??mbona jina bado lile?upe jina jipya kwanza tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Anne, wee mkaliiii, khaaaahShauri zake
Mdogo wake alikuwa rafiki yangu sana ni kweli aliwahi kunitongoza na hatukufikia muafaka
Nikamwambia kwani hakukuambia?
Yaani alichanganyikiwa,,akaomba hayo mambo aliyoniambia nisimwambie mtu yeyote.
Hajawahi kurudia tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Jibaba jitu Zima linanidanganyaAlikoma🤣🤣
Wapo bwana!mimi mbona wangu wa peke yangu nimempata above 35,naye alikuwa senior bachelor hata sio mzee...mimi ni mmiliki halal natamba nae,usikatishe tamaa wadada we mzeeSasa ukubaliane na mazingira, above 35 hakuna me wa peke yako, hata hivyo sharing is caring 🤣
Kipindi hicho nimemaliza chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Anne, wee mkaliiii, khaaaah
Ha haaaa we hutaki kulelewa kama baby wake ule maisha?Jibaba jitu Zima linanidanganya
Ooh yaani nikiwa na wewe ni binti mzuri sana mwenye heshima...yaani kwenye familia yenu wewe unanivutia zaidi una heshima sana
Eti ntakutunza kama mtoto wangu
Ntakupa kila kitu
Nyie mibaba mjiheshimu..
Mimi mtu anayenidanganya Kwa vitu ndio namuogopa zaidi Kwa sababu sishawishiki Kwa mivitu.
Jamani, yaani wewe Joannah ndo umepitia haya ya ku date na wanaume waliooa 😱siamini. I knew you are as innocent as a virgin😬sasa sijuwi nafanyaje maana mipango yangu kwako ndo ishaparaganyikaHey
,Weekend kwangu ipo poa sana,Natumaini hata yako imetulia,kinyume na hapo jipe moyo siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa,ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine...Jamani,kina dada hii kitu mimi ilishanishinda sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo,yaani ukute huu muda dada uko zako hotel happily na married man sijawahi enjoy,nishajaribu kudate nao mara kadhaa ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua sifiki mbali yaani kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao,mfano
1.UONGO,
Jamani hao viumbe ni waongo Shetani akasome,utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke kwanza alilazimishwa kumuoa,mwingine utasikia kwanza silali nae chumba kimoja mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic
,ukisikia hizo mambo za design hivo sister,Don't buy it!
2.UNAFIKI
Hao jamaa achana nao,kuna wale wanafiki uko nao ila kila muda utasikia wife this,wife that,yaani anajifanya anampeeeeendaaaaa unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat?nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini,hilo penzi linanishinda kabisaa,Inakata sana stimu
3.UMBEA
kuna wale wasengenya wake zao oooohooo usiombe ukutane nao anamuanika mkewe unabaki kushangaa,huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii
NUKSI
Ukiwa nao hao mambo hayaendi kabisa kuna namna tu unakuwa unakwama,sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi,au ni vile mi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13 :4 " ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi
KUFICHWAFICHWA.
Yaani unakuwa kama heroine,huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu,utasikia "Baby ndio nimefika home usinipigie,usiku mwema ,nakupenda sana🙄🙄🙄"Whaaaaat?
Anyway yako mengi,sijui wenzangu mnawezaje,ila kupanga ni kuchagua ,maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single..wake up weekend njemaaa
Kwamba yupo na wewe tu? Hahaha!! Labda kama nguvu zimepungua yupo 60s huko, ila kwa huyu mtanzania wa kawaida mwenye 40s na hela ya wese, mboga na ya kukaa kwa wallet ipo....🤣🤣Wapo bwana!mimi mbona wangu wa peke yangu nimempata above 35,naye alikuwa senior bachelor hata sio mzee...mimi ni mmiliki halal natamba nae,usikatishe tamaa wadada we mzee
Sitaki kula ada za watoto wa watu aiseeHa haaaa we hutaki kulelewa kama baby wake ule maisha?