Kero za kudate mume wa mtu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii
Tena muda huo amenipigia
Anasema Kuna jambo muhimu nataka tuongee
Mi hadi nikaogopa

Huwa Nina nidhamu ya uoga hasa Kwa mtu ambaye sijamzoea...tena kuongea na simu huwa nipo mzito Sanaa.

Hee anatiririka matatizo wee
Halafu ananiuliza eti hii ni sawa kweli mimi kudangaanywaa miaka?
Namsapoti kuwa kweli si sahihi.

Yaani mtu mwenyewe hajasoma kabisa
Biashara yenyewe amefeli

Khaa ila watu
Kwani hakumuona kama hajasoma?๐Ÿ˜‚
 
Ili umuonee huruma ๐Ÿ˜…
 
Joanah single boy apa tule life
 
Sijasoma yote ila Pole sana kwa yaliyokukuta
 
Mimi mmenishinda.
Tafuta wako Akupende Na Umpende Anza naye chini hata kama hana Kitu Wanaume wengi wakiwa wanajitafuta wanakuwa wa hovyo ila akipat mwanamke sahihi anakuwa kwenye mstali Sasa Nyie wanawake mnataka Umkute mwanaume ashajipanga kumbe akijipanga kuna mtu ashajipanga naye ndio huko sasa unako angukia kwa waume za watu.
 
Umewaambia ukweli demi,hyo ndo reality.
 
Kumbe tatizo

ni wewe๐Ÿคฃ tafta kitoto ukipelekeshe sasa ukilee kama shishi anavyolea vijana.
Kabisa mkuu..mtu ana miaka 35 na ni single maza. Unapata wapi mwanaume wa peke ako? Labda aliye fiwa na mkewe au kuachana na mkewe,maana ni nadra kukuta mwanaume wa miaka 40 hajaoa. Hivyo atafute tu dogo amlee
 
Kabisa mkuu..mtu ana miaka 35 na ni single maza. Unapata wapi mwanaume wa peke ako? Labda aliye fiwa na mkewe au kuachana na mkewe,maana ni nadra kukuta mwanaume wa miaka 40 hajaoa. Hivyo atafute tu dogo amlee
Harsh reality, ni ngumu wao kuamini ukweli huu mchungu. Mtu kakukuta 35+ tena uko na watoto anaanzaje kuji-commit kwako 100%. Mahusiano yenyewe siku hizi ni kuviziana tu.
 
Mtoto ushakuwa shoga tayari na mods nao wanakuangalia tu hivihivi kiukweli unatia kinyaa mno
 
๐Ÿ˜ณIla bro unakauli zisizobariki....I don't know why? Hivi upo perfect Sana eti?
Mimi sipendi unafiki na kujipendekeza,
Ubaya uko wapi kwenye hayo maswali yangu?

Yani unashangaa maswali yangu ila humshangai mleta mada kuanzisha uzi wa kujitapa kua anatoka na waume wa watu?
Nimekushangaa sana kunishangaa mimi badala ya kumshangaa mleta mada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ