Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Sipendi mme wa mtu
Kwa mazingira ya sasa huwezi kupata wa peke yako, labda utafute vijana wanaotafuta kulelewaSipendi mme wa mtu
🤣🤣🤣🤣Wanasema walilazimishwa na wazazi,"hakuwa chaguo langu yule,chaguo langu ni wewe" basi mwenyewe unachekeleaa,kumbe!😂😂😂😂😂
Unafichwa kama bangi.
Ila watu ni waongo sana
Eti hampendi mkewe au mumewe
Hapo wamefunga hadi ndoa ya kanisani.
Nyie watu wanachuma dhambi hivihivi.
Kuvunja ndoa ya mtu sio rahisi,unless huyo mke nae awe kamchoka mmewe...
Kwa hiyo mimi mbunge?viti maalumu au wa kuchaguliwa sasa hapo ndio umeniconfuse
Kweli aisee...Kuna wanapenda usafi Sana akisikia Una -mcheat anaweza kukuacha kwa mambo Kama haya
Kumletea magonjwa
Kumletea nuksi na mikosi
Kumkosesha Amani ya moyo
That is reason why michipuko wanakuwaga na mwisho mbaya.
I speak from experience
Mfano labda mdada ana miaka 40, bado atakuwa na ndoto kweli ya kupata wa peke yake?Eeeh malezi tena jamani?hapana hiyo itakuwa ngumu sana
Excellent!nikigombea uspika vipi?naweza pata?
Ila kudate na mume wa mtu, inahitaji moyo sanaa,
Siweziii kwa kwelii.
Wadada hawajui tu, ukishakuwa 35+ ni ngumu sana kupata wa peke yako. Otherwise usijihusishe na ngono, kitu ambacho hawawezi.Una miaka 34 single maza,huyo mwanaume wa peke yako utampata wap? Labda upate vijana wanao penda kulelewa