Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

😂😂😂😂😂
Unafichwa kama bangi.

Ila watu ni waongo sana
Eti hampendi mkewe au mumewe
Hapo wamefunga hadi ndoa ya kanisani.

Nyie watu wanachuma dhambi hivihivi.
🤣🤣🤣🤣Wanasema walilazimishwa na wazazi,"hakuwa chaguo langu yule,chaguo langu ni wewe" basi mwenyewe unachekeleaa,kumbe!
 
Kuvunja ndoa ya mtu sio rahisi,unless huyo mke nae awe kamchoka mmewe...


Kuna wanapenda usafi Sana akisikia Una -mcheat anaweza kukuacha kwa mambo Kama haya

Kumletea magonjwa
Kumletea nuksi na mikosi
Kumkosesha Amani ya moyo

That is reason why michipuko wanakuwaga na mwisho mbaya.

I speak from experience
 
Kuna wanapenda usafi Sana akisikia Una -mcheat anaweza kukuacha kwa mambo Kama haya

Kumletea magonjwa
Kumletea nuksi na mikosi
Kumkosesha Amani ya moyo

That is reason why michipuko wanakuwaga na mwisho mbaya.

I speak from experience
Kweli aisee...
 
Ni hatari Sana,hao haitakiwi udate nao kwa ajili ya maonyesho,hao ni sikumna hamu banduaneni then kimya mpaka kipindi kingine.Mume wa mtu uwe romantic nae ili iweje....kashaoa kinachompeleka nje ni nyege tu ambazo huenda ndani hapewi mzigo au anapewa....kiufupi wanapenda kutembeatembea na kuonaona lakini makazi yao yapo.
 
Sema maisha yanashangaza kuna Dada mmoja alikuwa mrembo Sana alikuwa Jirani yangu

Kafanya sana mambo ya kuwa mchipuko kala Sana hela za maziwa ya watoto kavunja Sana ndoa

Ila Leo anapokea malipo ya karma

Kaolewa na Shekh mmoja Ila huyo anamuumiza balaa anamfumania kila siku

Ukiachana na hilo mwanae sasa amekuwa upinde anachezewa hatari.

So sometimes what goes around comes around.
 
Una miaka 34 single maza,huyo mwanaume wa peke yako utampata wap? Labda upate vijana wanao penda kulelewa
 
Back
Top Bottom