Kero za kudate mume wa mtu

Mimi mmenishinda.
I tried once with a very rich man kabla sijaolewa
Ila alitaka kunioa kama mke wa pili
Ni afande/polisi mkubwa sana nch hii
Hao kina mwafele hao

Sina hamu na hao viumbe nililetaga hadi uzi humu
Aisee waume za watu hawafai na akiwa polis/afande pita mbali wana stress za kazi alafu hawazipeleki kwa wake zao wanakuletea wewe
Alishanitoleaga bastola
Nakwambiaje ilokua mara moja na ilikua mwisho
Now am married 7yrs and still counting…
Nashukuru saa juu ya mume wangu pekee yangu
Kama ana wa nje staki hata kujua
Naomba tu uZima
 
Kwa taarifa yako hatuwezi kuwa na mwanamke mmoja..hata nikikuoa ukawa mke bado nitatoka na mwanamke mwingine..
Ni tamaa tu mkuu, ila ukiamua kutochepuka inawezakana. Yan kabla hujachukua maamuzi ya kuoa kula sana papuchi. Ukiamua kuoa tulia mzee. Sometimes unajiletea nuksi kwny life lako kutokana na hii michepuko.
 
Aiseee yaani anatoa hadi bastola?huyo ana stress za kazi na za nyumbani kwake anataka kukuua wewe!
Mungu akutunzie mumeo mwaya..
 
Ni tamaa tu mkuu, ila ukiamua kutochepuka inawezakana. Yan kabla hujachukua maamuzi ya kuoa kula sana papuchi. Ukiamua kuoa tulia mzee. Sometimes unajiletea nuksi kwny life lako kutokana na hii michepuko.
Mke wako ana bahati sana.
 
Wote tunawapenda isipokuwa tunawapa kila mmoja nafasi yake kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…