Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Nimepanga nimpotezee mazima ili ajifunze na kutafakari.najua anaweza kupambana,kipato anacho maana ni muajiriwa wa government.japo roho inaniuma kuhusu mwanangu.

Haiwezekani unamchukia mke wangu na familia yangu,ambayo wala hata haikujui.
Si umnunulie gari lake Mkuu
 
Sasa nani anataka hizi mambo. Bora kuwa singo kuliko kudate mume wa mtu ni mateso sana.
Ukitaka kutafuta wa kwako ni kipengere muda umeyoyoma tafakari chukua maamuzi,usipokuwa makini utajikuta unasugua na Tango,kuwa makini,usipokuwa makini utajikuta unaliwa na mwanamke mwenzio,ukibebwa kubali yote,huyo mume wa mtu anakuwa amekuepusha na mengi mno
 
Uwepo wa side chicks unasaidia sana kuimarisha Ndoa zetu

Wengi mliooa mnaweza kuwa mashahidi kwamba Ni Wanawake wachache sana wanaotoa tendo la Ndoa Kwa Waume zao Kila wanapohitajika

Wengi wanatoa hadi wapende kisa tayari ameolewa na kuwekwa ndani,

tena ukipewa mwisho kupiga viwili na ole wako ufululize kupiga Siku 7 za wiki

Utaambiwa nimechoka, unataka kunizeesha na sababu zingine

Pamoja na changamoto alizotaja mtoa mada, sioni sababu za msingi kwanini muingie kwenye mtego wake wa kuwahamasisha mtuache kisa tumeoa...

Maisha yenyewe ni haya haya, tuendelee kufurahia
Kwahiyo sidechicks kazi yake kutoa sex mwanzo mwisho hawachokagi au sio 😆😆
 
Hey

Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi...

Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine. Jamani, kina dada, hii kitu mimi ilishanishinda; sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo. Yawezekana ukute huu muda dada uko hotel happily na married man, lakini sijawahi enjoy. Nishajaribu kudate nao mara kadhaa, ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua. Sifiki mbali; kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao. Mfano:

1. UONGO

Jamani hao viumbe ni waongo, Shetani akasome. Utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke, kwanza alilazimishwa kumuoa. Mwingine utasikia: "Silali nae chumba kimoja, mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic." Ukisikia hizo mambo za design hivo, sister, Don't buy it!

2. UNAFIKI

Hao jamaa, achana nao. Kuna wale wanafiki uko nao, ila kila muda utasikia "wife this, wife that." Yaani anajifanya anampeeeeendaaaa, unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat? Nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini, hilo penzi linanishinda kabisa; inakata sana stimu.

3. UMBEA

Kuna wale wasengenya wake zao. Ooooh, usiombe ukutane nao. Anamuanika mkewe, unabaki kushangaa. Huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi, mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii.

NUKSI

Ukiwa nao, hayo mambo hayaendi kabisa. Kuna namna tu unakuwa unakwama. Sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi, au ni vile mimi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty. Utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13:4 "ndo na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi" kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi.

KUFICHWAFICHWA

Yaani unakuwa kama heroine, huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu. Utasikia "Baby, ndio nimefika home, usinipigie, usiku mwema, nakupenda sana." 🙄🙄🙄 Whaaaat?

Anyway, yako mengi. Sijui wenzangu mnawezaje, ila kupanga ni kuchagua, maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single. Wake up, weekend njemaaa!
Kama umedate wenye sifa zote hizo wewe ni chura wa kizimkazi
 
Ukitaka kutafuta wa kwako ni kipengere muda umeyoyoma tafakari chukua maamuzi,usipokuwa makini utajikuta unasugua na Tango,kuwa makini,usipokuwa makini utajikuta unaliwa na mwanamke mwenzio,ukibebwa kubali yote,huyo mume wa mtu anakuwa amekuepusha na mengi mno
Hapana. Ni mateso kuwa kwenye mahusiano ya kufichwa fichwa.
 
Tatizo sometimes anakuletea story ya uchungu anataka kushauriwa....yamemfika hapa
Kushauriana kupo ila sio issues za nyumba kubwa, hakuna kumjadili wife hata kwa bahati mbaya. Kila mtu ajue mipaka yake, apate stahiki zake maisha yaende. Kuna age kwa mwanamke asipokuwa makini ni kuwa side chick tu, itakuwa vyema kwake akipata mwanaume anajielewa ili atunzwe kama mke.
 
Kushauriana kupo ila sio issues za nyumba kubwa, hakuna kumjadili wife hata kwa bahati mbaya. Kila mtu ajue mipaka yake, apate stahiki zake maisha yaende. Kuna age kwa mwanamke asipokuwa makini ni kuwa side chick tu, itakuwa vyema kwake akipata mwanaume anajielewa ili atunzwe kama mke.
Wanaume wengine vifua hawana atasema kila kitu cha nyumbani kwake ili apate sympathy ya mchepuko
 
Back
Top Bottom