Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Serikali ya Tanzania itabidi iweke vipengele kwenye baadhi matangazo ya ajira kwenye wizara na taasisi za Serikali, mfano Bandari, PCCB, Magereza, wizara ya Afya, ikitangaza nafasi za kazi iseme muombaji lazima awe Mtanganyika Baba na Mama na kama Mzanzibari atakiwi kuomba
 
Mtu kwao
 
Wizara ya mambo ya ndani ni wizara ya muungano
 
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.

Ifikie mahali tupunguze kujipendekeza
 
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo;
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ardhi.
Kuulizwa ulizwa kila saa wewe ni mnyamwezi ?
Ovyo sana hao watu..!
 
Na Yale makombora ya kutungulia ndege tuliyoyaficha kwenye bahari ya Zanzibar itabidi tuyatoe
 
Kwenye ajira za polisi mfano wewe siyo Mzanzibari ukiwa Zanzibar ukiomba nafasi za ajira za polisi au Uhamiaji wakiona jina la Joseph, John, Pascal Tu wana yakata hawa yatumi kwenda Wizara ya Mambo ya ndani, Wazanzibari wakisha ajiriwa Wizara ya mambo ya ndani Polisi, Uhamiaji wanarudishwa wote kwao Zanzibar hawa pangiwi Mikoa ya Bara kwenda kufanya kazi , ata TRA wakiajiriwa wa Zanzibar wana pangiwa vituo vya kwao uko Zanzibar .
 
Hakuna Tanzania bila Zanzibar
 
Yote hayo ya kujitakia tu, acheni muungano kama mnakereka nao.
Tatizo viongozi uchwara wa ccm wameung'ang'ania.kwa sisi wananchi wazalendo huo muungano uchwara tunataka ufe hata kuanzia sasa.
 
Unaenda kuombea Zanzibar ili iweje!?..kaombee kwenu mafinga
 
Huu muungano umetusababishia kupata viongozi wasio na uelewa wwt, wazembe, hawana uchungu na nchi, wapenda starehe, safari wasizojua kwa nini wanasafiri.
Niieshie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…