Kwa hiyo unakataa nyinyi Wazanzibari siyo changu changu, chako changu kwa Tanganyika!Unatulisha wewe kama nani? Chakula tunanunua kama wanavyonunua wengine wa nchi jirani.
Hebu jiulize kabla ya huu muungano Zanzibar walikuwa wanapata wapi chakula?
Zanzibar ni sehemu ya muungano, tuna haki zetu kimuungano, kama unafikiri tumevunja lete kipengele kilicho vunjwa, shida ni kufikiri Tanzania ni Tanganyika, wakati Tanganyika ni nchi mfuKwa hiyo unakataa nyinyi Wazanzibari siyo changu changu, chako changu kwa Tanganyika!
Ondoeni upuuzi wenu.Ω±ΩΩΩΩΩ°ΩΩ Ψ£ΩΩΩΨ¨ΩΨ±Ω
Mimi pesa kwa si shida kabisa yakheeHamtuhitaji vipi na juzi umeliwa milioni 6 zako huko Kondoa Irangi?huko visiwani ungetoa zako Cha mfukoni tu ulichonacho
Acha unafiki Hizo sio kero za muugano. Ni utaratibu wa kila mkoa. na halmashauri zake. Kwanza Ardhui ya Zanzibar ipo baharini. Je umeshajaribu kutaka kujenga ndani ya bahari wamekukosesha kibali? Usifananyishe Bara na visiwani. Kila upande umejiwekea utaratibu ili kulinda mipaka yake na kuenzi tamaduni na mila zake.Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo.
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani.
3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI.
4. Bullying "name calling" (kuitwa CHOGO).
5. Uhuru wa kuabudu mashakani (ref. Uchomaji Moto nyumba za ibada
ππππUlisema mrangi bhana,...Ana asili ya kizanzibar
Made in Tanzania πΉπΏZanzibar ni ya wazanzibari kwa ajili ya wazanzibari na Tanganyika ni ya watanganyika na wazanzibari na ni kwa ajili ya pande zote za muungano.
Huu muungano ni wa kidwanzi haujawahi kutokea.
Ndiyo maana Jeshi linapeleka wazanzibari kulinda amani ili wakafe vizuri uko Congo, Sudani, na Afrika ya kati, Dawa yenu ndiyo hiyo kuwapeleka uko ukafie uko.Unaenda kuombea Zanzibar ili iweje!?..kaombee kwenu mafinga
Muungano wa serikali moja itawabana wazanzibari na Asili yao itafutika na kumezwa na Watanganyika ni sawa uchanganye chumvi kilo kumi na sukari nusu matokea yake Sukari haita onekana itamezwa na chumviKwa nini watawala hawataki muungano wa serikali moja ambayo ndiyo sera yao waliyoiweka hadharani zama za G55?
Lakini wazungu wana nunua ardhi sana uko mashamba Paje, Jambiani, Michamvi kote uko wazanzibari wana uza aridhi kwa wazungu, Wazanzibari wasikuizi wana wapenda sana Wazungu kuliko waarabu sijui kwanini yana wadiriki kuwa uzia mpaka maeneo ya makaburi ya ukoo, baada ya miaka 30 wazanzibari watakuwa wapaganiAcha unafiki Hizo sio kero za muugano. Ni utaratibu wa kila mkoa. na halmashauri zake. Kwanza Ardhui ya Zanzibar ipo baharini. Je umeshajaribu kutaka kujenga ndani ya bahari wamekukosesha kibali? Usifananyishe Bara na visiwani. Kila upande umejiwekea utaratibu ili kulinda mipaka yake na kuenzi tamaduni na mila zake.
Suala la kumezwa ni la muda tu. Kasi ya watanzania bara ni taratibu na hakika. Na wanapewa vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi.Muungano wa serikali moja itawabana wazanzibari na Asili yao itafutika na kumezwa na Watanganyika ni sawa uchanganye chumvi kilo kumi na sukari nusu matokea yake Sukari haita onekana itamezwa na chumvi
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Chuki yako inasukumwa na nini,dini!?Ndiyo maana Jeshi linapeleka wazanzibari kulinda amani ili wakafe vizuri uko Congo, Sudani, na Afrika ya kati, Dawa yenu ndiyo hiyo kuwapeleka uko ukafie uko.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
πππZanzibar ni ya wazanzibari kwa ajili ya wazanzibari na Tanganyika ni ya watanganyika na wazanzibari na ni kwa ajili ya pande zote za muungano.
Huu muungano ni wa kidwanzi haujawahi kutokea.