chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Mkuu kwa jinsi haya majitu yalivyo madicteta wanannchi wakiandamana watawauwa na kuwafunga jela iliyobaki tumwachie Mungu .Waitishe maandamano wapigakura tufanye maamuzi, Magufuli mwenyewe ameishaanza kuchokwa na wananchi baada ya kuona publicit kubwa lakini hospital hakuna dawa na bei ya sembe na sukari haishuki
Umesahau bunge la katiba??
Ccm Kaziyao nikulindana tu kama nyuki anavolinda asaliHuyo ni CCM hawawezi kumchukulia hatua
Wameshindwa kuwapatia maji safi na salama Watanzania lakini wameleta Magari ya Maji ya kuwashaMkuu kwa jinsi haya majitu yalivyo madicteta wanannchi wakiandamana watawauwa na kuwafunga jela iliyobaki tumwachie Mungu .
Ni wapi nimejisifia au nimesifia?? Nyie watu msiwe wajinga kiasi hicho! Wapi nimesifia au nimemkumbusha tu hiyo jamaa anayesema akidi haitatimia??Kwa hiyo mnajisifia kwa hilo??Hongereni sana.
Wenzio wa kilombero walibisha wamepigwa kimoja cha 'nguruwe' leo mimba imezalisha 'watoto' lundo. CCM imechukua Halmshauri kwa tofauti ya kura moja.
Mie ndiyo nemesema amid haitayimia maana hao CCM hawafiki nusu ya hiyo akidiNi wapi nimejisifia au nimesifia?? Nyie watu msiwe wajinga kiasi hicho! Wapi nimesifia au nimemkumbusha tu hiyo jamaa anayesema akidi haitatimia??
Ujinga au u erevu ni relative term!Usiufurahie ujinga mkadhani mnajenga kumbe mnabomoa nchi kwa mikono yenu wenyewe. Siku zote haki hucheleweshwa tu.Atakuja jutia.
Ni kweli kabisa.Na ninaona wanashangilia.Sijui kama wanajua wabapomuweka Magufuli.Ccm Kaziyao nikulindana tu kama nyuki anavolinda asali
Ujinga au u erevu ni relative term!
La kijinga kwako inaweza kuwa la ki urevu kwangu na kinyume chake!
....inasikitisha sana eti leo kuna watumishi wanachuliwa hatua kama majipu..tena kwa mbwembwe tele..wakati kuna wapuuzi kama huyu mkurugenzi wanafuta uchaguzi halali kwa hati feki za mahakama na wanaachwa tu....hizi double standards hazitawasaidia ccm wala rais wao JPM....maana watanzania si wajinga hivyo....Mkuu siyo kusimamia tu ni aibu ya Mwaka mpaka hivi leo kumwacha hawe huru
...wakifanya hivyo itakula kwao....maana hadithi yao ya kutumbua majibu itazidi kukosa wasomaji....Huyo ni CCM hawawezi kumchukulia hatua
...wakifanya hivyo itakula kwao....maana hadithi yao ya kutumbua majibu itazidi kukosa wasomaji....
kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.
Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima
Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.
Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.
Pia wawafungulie kesi wale wote waliovuruga Uchaguzi makusudi .Ndiyo mbinu ilyopo kweli lakini wanatengeneza bomu. Nashauri UKAWA wadai maelezo mahamani juu ya zuio batili na kamata kamata isiyo na sababu wala haki
Watu wa namna hiyo wanaolinda mali za wakubwa kawaida hawaguswagi na serekali ya ccm ndio maana tunawambia mnayoyaona ni maigizo na mazingaombwe tu ya serekali ya Magazeti na Tvnjia bora na ya Uhakika ni kumshitaki Yule mkurugenzi aliyeleta zuio feki ukumbini , hii ingekuwa fundisho pia kumweka mtuhumiwa ndani Kwa saa 48 pasipo kumfikisha Mahakamani ni kosa kisheria na unaweza kuwashitaki polis endapo wataendelea kuzuia dhamana.
Serekali ya Tv na Magazeti haiwezi wagusa hao watu maana wapo kwa manufa yaoPia wawafungulie kesi wale wote waliovuruga Uchaguzi makusudi .