Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
- Thread starter
-
- #81
Ukijua unachotetea vizazi vya leo na kesho kwa dhati hiwezi kurubuniwaHe he he acha nicheke tu, sio tatizo mrengo wako ni UPI, lkn shetani ana nguvu Na Mungu ana nguvu, zaidi ya yote uwe Na nguvu ya kushinda vishawishi, hata kuwapo Na hatari ya maisha yako, usimamie haki
Ndio Maana Yake Ukawa Mnapenda Sifa sana... Ndio tatizo lenu...Sasa mnafanyaga uchaguzi kufurahisha mataifa ya nje?
Kuna wakati hukutani Na bahasha, ila vitisho,Ukijua unachotetea vizazi vya leo na kesho kwa dhati hiwezi kurubuniwa
Sifa zakuikata ccm? Kwani ccm mepewa hati miliki ya hii nchi na Mungu?Ndio Maana Yake Ukawa Mnapenda Sifa sana... Ndio tatizo lenu...
Kama utakufa kwakutetea wajuku na vituku nikifo cha kishujaKuna wakati hukutani Na bahasha, ila vitisho,
Mungu azidi kukufanya uwe Na afya njema, utetee wanyongeKama utakufa kwakutetea wajuku na vituku nikifo cha kishuja
MKUU ELEWA KWANZA NI CHAMA CHA MACHAFUKO PILI NI MTAMBO WAKUTEMGENEZA MAFISADI TATU HAKUNA MSAFI HUKOhivi ccm wanalinda chama au wanalinda mafisadi wanne tu waliofirisi jiji ?
Amen kwakua nafanya kazi ya Mungu ambayo amedema teteni wanyonge masikini na wasio jiweza basi tutafika kwa nguvu zake ubarikiwe sanaMungu azidi kukufanya uwe Na afya njema, utetee wanyonge
Hahah angalia yasije tokea yale yaliyotokea baada ya zile pushupsngoja nimalizie kupiga push ups zangu hapa, maana serekali yangu ya sasa Nguvu nyingii akili kiduchu
Hahahaa subiri usome nambaWanahangaika tu bila ukawa akidi aiwezi kutimia labda wachague meya Wa Lumumba siyo Wa jiji la dar
Makufuli anazidi kudhiirisha ubora wakekesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.
Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima
Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.
Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.
Kama Unabisha hali ndio hiyo Subiri tena Miaka Mitano ijayo pengine utapata raha na wewe... hii ndio Si asa na Kumbuka Mcheza kwao......Sifa zakuikata ccm? Kwani ccm mepewa hati miliki ya hii nchi na Mungu?
Amen mkuu, kila LA kheriAmen kwakua nafanya kazi ya Mungu ambayo amedema teteni wanyonge masikini na wasio jiweza basi tutafika kwa nguvu zake ubarikiwe sana