Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

John Pombe Magufuli - Kura 12,516,252

Tundu Antipas Lissu - Kura 1,933,271

John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

ITV

Imeisha hiyo!!!!
0Y00000OOOOOooooooooo.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
JPM.
Chuma kimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Wapumbavu sana hawa wanaimba tudumishe amani, tunadumisha vipi amani bila ya kuwepo uhuru na haki ya kweli. Wamefanya udhalimu wa aina mbali mbali kwa miaka mitano ikiwemo mauaji na bado wanaimba tudumishe amani.
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
 
Ni mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anaweza kuandika upuuzi kama huu.
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
 
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
Etwege utawapasua watu mioyo bure
😂😂😂😂😂😂😂
 
View attachment 1616166

Tunaomba direction jinsi ya kufika makao makuu .... .... .....
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tuna hamu kubwa ya kuja kuwacheka chama cha mashoga

khe khe he he heeeeeeeeeeeeeeeeee

Hata kama CHADEMA ni cha mashoga, kwa jinsi ulivyoandika basi na wewe ni shoga mwenzao. Pole!
 
Me nashindwa kuelewa watu wanaoshangilia mauaji yanayoendelea zanzibar ata kama n ukada mataga mmezid unyama unaofanyika pemba s wa kuushanhilia ata kidogo
 
Tamko la Lissu la kuingia barabarani limeishia wapi 😁😁😁...
Au Mbowe ndio anaenda kukazia tamko, wakimaliza wao ndio wakae mbele kwenye maandamano Jussa atapata kampani at least.
Tundu anasema yeye kashafanya kazi yake amemaliza na ameshampa bobu kazi ya kisubmit malalamiko ICC, sasa anawashauri watanzania waingie barabarani ili ICC wapate ushahidi😃😁

Najiuliza kwani yeye si ndio anatakiwa kuwaongoza kukinukisha kwa kuyapanga na kuongoza hayo maandamano??? Mbona anajitoa😃
 
View attachment 1616166

Tunaomba direction jinsi ya kufika makao makuu .... .... .....
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tuna hamu kubwa ya kuja kuwacheka chama cha mashoga

khe khe he he heeeeeeeeeeeeeeeeee
Makao makuu ya chama Chenye umri wa miaka 28 na nusu
Sijui ruzuku na michango ya wanachama walikua wanapeleka wapi
 
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Stay tuned!
Kunatetezi Kibaraka jana alionekana Namanga navuka mpaka kwenda Kenya na watz wakamkaushia tu. Vipi dikteta2020 ni kweli hayo?
 
Nina wasiwasi kama huo mkutano utafanikiwa kufanyika, vifaru vitalizingira jengo lote la makao makuu ya Chadema. Tanzania mpya ya kijani.
Mbona Kibaraka wenu ameonekana anavuka mpaka Namanga na hakuna aliyekuwa na time naye??
 
Wakubali tu matokeo yaishe. Watanzania tuna deni kubwa sana la kupambana kutafuta mkate wetu wa kila siku. Hatuna muda wa kuandamana. Wapinzania hasa CHADEMA wajifunze kutokana na makosa yao kuanzia 2015. Kosa la kwanza la kuona Dr. Slaa si lolote wala chochote na kumwona Lowassa na Sumaye kuwa keki.

La pili wajitafakari na kuachana na mihemko kama walivyofanya kwa CORONA na fukuza fukuza isiyo na kichwa wala miguu kama waliyoifanya wakati wa CORONA.

Waache udiktekta kwa watu wao na waache tamaa ya fisi. Wajipange upya kwa ajili ya 2025 na 2030.
 
Daah yaani walivyozima internet ni raha sana,madereva wa Uber ni mwendo kutumia VPN huku ikisoma zake Australia-Melbourne au USA-California wkt uko zako Mbagala rangi tatu.

Mamamamamae sijui wateja mnawapataje,mwafaaaaaaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…