Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??

ile siku ndio nilijua wasomi wa ccm wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.

sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
Wacha uongo masilingi ndiyo alichemsha mpaka alikuwa ananyanyuka kwenye kiti anataka kurusha ngumi na alikuwa amelewa,itafute uiangalie tena.
 
PLO ana hoja nzuri za kawaida. TAL unaweza kumchukia kama binadamu lkn lazima utambue kuwa Lissu ni kati ya wanasheria wanaojisomea sana, uwezo wa fikra na mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza! Mimi nategemea utakuwa mdaharo mzuri sana. Lazima utambue kuwa sio rahisi kukaribishwa na Shaka Ssali katika Straight Talk Africa kama hutoshi!
 
Pro LUMUMBA Anaijua Africa kwa maana ya Enzi hizo lakini Dr. Lissu anaijua Tanzania vizuri hata Kulikoni MWENDAZAKE. Hoja sio Vocabularies za Kiingereza Hoja je Anaijua vizuri Tanzania iliyokuwa chini ya.utawala uliopita.Mbona.Plo Lumumba kwa.Dr. Lissue ni.asubuhi tu...
 
Tatizo lako unakuwa too personal katika hoja zako hadi mada yako inakosa meaning!
 


Lissu kaacha emotion zimtawale

akina Mandela wanaheshimika kuwa inatakiwa kufika muda, wewe UWE juu ya emotion kwa sababu LENGO lake ni kubwa pia...kama bado analo...kajikuta kaishapoteza lengo, kashindwa kuwa rais kivuli, kashindwa kuwa mfariji wa watu wake kipindi cha huzuni....ili atajuta maisha yake yote


sasa kageuka anagombana na Marehemu, na Marehemu anamshinda

analala anamwota, anamwandikia article, na bado anakutana na upinzani na ukuta ule ule kana kwamba marehemu yu hai,


wote tunajua Lissu TZ hana namna ya kupata hela, hakuna client angependa kesi yake isimamiwe na Lissu...kakimbia, na anatafuta sababu ya kuendelea kubaki Ulaya
 
"Legacy aliyoiacha shujaa wa Africa"

Huo ushujaa alitamkwa na nani muuaji huyu!Kuhudhuria vikao tu na viongozi wenzake wa Afrika ilikuwa shida,vita dhidi ya corona imemtoa knock out,Dunia inatushangaa na Waafrika wenzetu wanatushangaa!
Huyo PLO zaidi ya vocabularies hana hoja za kumshinda "muathirika wa ukandamizi wa dikteta wa Afrika"
 
Huyo Lissu ametoroka tena pale wodi tano milembe, kwenda kwenye TV, aisee anywe dawa zake, maana si bure lazima azungumze utumboo!
 
Huna lolote MSAGA SUMU . Plo Lumumba Mzee wa vocabulary hawezi kuelezea uhalisia wa mambo ya Tz kuliko Lissu . Kwa sababu Lissu anayaishi wakati Lumumba siyo.

Pili ule si mdahalo bali mjadala .

Odhis *
PLO, huyu jamaal miaka 3 iliyipita nilikua napenda Sana kusikiliza speech sale, ila nikagundua na yeye ni manga njaa tu... Maana alikua magu kabana democracy ila hakukemea, pale kenya uchaguzi ulivurugwa akateyea, hapa namkumbuka disaster the verteller aliposema baada ya mtaji husinulia upande wa wenye nguvu... Ndio huyu jamaa ilimradi anapata anachopata ataendelea lukas upande wa watawala tu....

Sikuwahi mlaumu lissu kwa alichokua anakifanya, na wala sitomlaumu kamwe...mapito aliyoyapita huyu jamaa ni magumu Sana..
 
Wewe na we si buree, utakuwa unagombana na Hayati! Jiangalie usije ishia milembe!
 
Haahaa hivi lissu na magu Nani kashindwa kiuhalisia? Haahaa aliyekufa na ambaye Yuko hai Nani kashindwa? Haahaa huu ushabiki huu ni hatari
 
NI shujaa was Afrika . hakuogopa kuongea ukweli
Hakukubalu kupiga magoti mbele ya mabeberu
Amepiga sana kuwaweka hotelini wazungu wa barrick miezi mitatu ukiwalipia eti mkubaliane na makanikia si uzwazwa huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…