kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Wanyonge Kama wanyongekwani ugomvi? basi Sugu ni shujaa wa Afrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge Kama wanyongekwani ugomvi? basi Sugu ni shujaa wa Afrika
Wacha uongo masilingi ndiyo alichemsha mpaka alikuwa ananyanyuka kwenye kiti anataka kurusha ngumi na alikuwa amelewa,itafute uiangalie tena.hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??
ile siku ndio nilijua wasomi wa ccm wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.
sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
PLO ana hoja nzuri za kawaida. TAL unaweza kumchukia kama binadamu lkn lazima utambue kuwa Lissu ni kati ya wanasheria wanaojisomea sana, uwezo wa fikra na mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza! Mimi nategemea utakuwa mdaharo mzuri sana. Lazima utambue kuwa sio rahisi kukaribishwa na Shaka Ssali katika Straight Talk Africa kama hutoshi!Kesho Lissu yupo STraight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.
Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.
Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.
Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.
View attachment 1739062
Na alikuwa amevaa nyungu
Tatizo lako unakuwa too personal katika hoja zako hadi mada yako inakosa meaning!Kesho Lissu yupo STraight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.
Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.
Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.
Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.
View attachment 1739062
Kesho Lissu yupo STraight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.
Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.
Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.
Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.
View attachment 1739062
Huyo Lissu ametoroka tena pale wodi tano milembe, kwenda kwenye TV, aisee anywe dawa zake, maana si bure lazima azungumze utumboo!Kesho Lissu yupo STraight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.
Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.
Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.
Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.
View attachment 1739062
PLO, huyu jamaal miaka 3 iliyipita nilikua napenda Sana kusikiliza speech sale, ila nikagundua na yeye ni manga njaa tu... Maana alikua magu kabana democracy ila hakukemea, pale kenya uchaguzi ulivurugwa akateyea, hapa namkumbuka disaster the verteller aliposema baada ya mtaji husinulia upande wa wenye nguvu... Ndio huyu jamaa ilimradi anapata anachopata ataendelea lukas upande wa watawala tu....Huna lolote MSAGA SUMU . Plo Lumumba Mzee wa vocabulary hawezi kuelezea uhalisia wa mambo ya Tz kuliko Lissu . Kwa sababu Lissu anayaishi wakati Lumumba siyo.
Pili ule si mdahalo bali mjadala .
Odhis *
Wewe na we si buree, utakuwa unagombana na Hayati! Jiangalie usije ishia milembe!"Legacy aliyoiacha shujaa wa Africa"
Huo ushujaa alitamkwa na nani muuaji huyu!Kuhudhuria vikao tu na viongozi wenzake wa Afrika ilikuwa shida,vita dhidi ya corona imemtoa knock out,Dunia inatushangaa na Waafrika wenzetu wanatushangaa!
Huyo PLO zaidi ya vocabularies hana hoja za kumshinda "muathirika wa ukandamizi wa dikteta wa Afrika"
Amepiga sana kuwaweka hotelini wazungu wa barrick miezi mitatu ukiwalipia eti mkubaliane na makanikia si uzwazwa huoNI shujaa was Afrika . hakuogopa kuongea ukweli
Hakukubalu kupiga magoti mbele ya mabeberu
Yule professor mnamkuza bure tu, wenyewe wakenya wanampuuza balaaa...Najiuliza Profesa Lumumba ngazi ya juu sana, si wa mjadala na mgonjwa alafu mkimbizi..
Mgonjwa alikufa tukazika juzi.Huyo mgonjwa anatia huruma ....acha ang'ake wapambe wake wamsifie kwa mapambio.
Yule mkenya hajui chochote zaidi ya kuropoka tu...labda amzungumzie Uhuru kenyatandio maana nimesema sio mdahalo hasa, cha muhimu Lissu ajitahidi kutokuongea uongo
Ukisoma comments za wakenya kuhusu huyo Lumumba utacheka sana.Yule professor mnamkuza bure tu, wenyewe wakenya wanampuuza balaaa...
Haahaa shujaa wa afrika wa kuchongwa tu, hata vikao vya afrika vyenyewe alikuwa anakula Kona anamwachia mwanamama shupavu Samia hassani.Ni aibu sana ..kuna muda usiwajibu hawa mazwazwa unawapa kichwa,hivi wanajua maana ya shujaa wa Africa?