Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Nakuacha tu ufanye biashara. Tumeagiza china zamani sana.
Sawa boss, mimi huko ndio nilikua naishi mkuu. Nilikua naishi Hongshan. Nimeishi huko kwa miaka minne. Nimenunua laptop yangu mwaka 2018 mpaka muda huu naitumia. Hivyo nawafahamu vizuri wachina kuliko wewe. Hawawezi kuniuzia vitu fake. Ninauwezo wa kuingia ofisini kwao hata muda huu na kuwauliza mambo yasipo kwenda sawa. Nimezurura mitaa yote ya China ku refresh mind. Yaani nina marafiki kila mji hakuna mchina wala mtu anaye ishi kwenye mipaka ya China anaweza kuniletea ujanja. Hata wewe kama unataka kwenda China nitafute nikupe mwenyeji wa kufikia na ukifika nampigia simu akupokee.
 
Huyu Supplier anaitwa Sa**y, kiufupia yupo poa sana nimefanya nae biashara ya kununua simu kwake zaid 15, ana duka lake Guangzhou,
Huyu hapa.

Mtoa mada pambana sana ila tegemea kuna muda utakutana na vipengele kwenye simu zake😂 japokuwa sio sana

Kabla nilikua naagiza na kuuza online, nimewatumia wachina wengi sana mpaka sasa nina zaidi ya seller wa kichina 500, na wote nafanya hao biashara
Pambana japokuwa wengi hawawezi kukuamini.
 
Ukizidisha tarakimu baadi ya mitandao itahesabu tarakimu 10 za kwanza tu, ya 11 inakuwa inasindikiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…