Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Nakuacha tu ufanye biashara. Tumeagiza china zamani sana.
Sawa boss, mimi huko ndio nilikua naishi mkuu. Nilikua naishi Hongshan. Nimeishi huko kwa miaka minne. Nimenunua laptop yangu mwaka 2018 mpaka muda huu naitumia. Hivyo nawafahamu vizuri wachina kuliko wewe. Hawawezi kuniuzia vitu fake. Ninauwezo wa kuingia ofisini kwao hata muda huu na kuwauliza mambo yasipo kwenda sawa. Nimezurura mitaa yote ya China ku refresh mind. Yaani nina marafiki kila mji hakuna mchina wala mtu anaye ishi kwenye mipaka ya China anaweza kuniletea ujanja. Hata wewe kama unataka kwenda China nitafute nikupe mwenyeji wa kufikia na ukifika nampigia simu akupokee.
 
Mzigo mwingine tayari umeshatumwa


mmexport1711279961674.jpg
mmexport1711279965989.jpg
 
Huyu Supplier anaitwa Sa**y, kiufupia yupo poa sana nimefanya nae biashara ya kununua simu kwake zaid 15, ana duka lake Guangzhou,
IMG_4641.jpeg

Huyu hapa.

Mtoa mada pambana sana ila tegemea kuna muda utakutana na vipengele kwenye simu zake😂 japokuwa sio sana

Kabla nilikua naagiza na kuuza online, nimewatumia wachina wengi sana mpaka sasa nina zaidi ya seller wa kichina 500, na wote nafanya hao biashara
Pambana japokuwa wengi hawawezi kukuamini.
IMG_4642.jpeg
 
Nilipoona namba yako ulivyoikosea nikakumbuka siku moja nilikuwa nampigia kaka yangu namba ile nilikuwa natoa kichwani sasa nikawa nimezidisha tarakimu moja lakini cha ajabu iliita akapokea mtu mwingine! Nikabaki najiuliza kumbe hizi namba hazina idadi wala fomula

Nje ya mada
Ukizidisha tarakimu baadi ya mitandao itahesabu tarakimu 10 za kwanza tu, ya 11 inakuwa inasindikiza.
 
Back
Top Bottom