Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

Kuna jamaa ali bet akashinda zawadi nzuri. Kwasababu alikua Hana akili akaanza kununua samani za Bei juu na kuponda Maraha kwa ulevi na makahaba. Mara pesa ikakatika.
Akaanza kuuza vile vitu alivyonunua kwa Bei mbaya, akaviuza kwa Bei ya kutupa ,(si Hana uchungu navyo)
Mara navyo akavimaliza.
 
hawa wawekezaji ni muhimu sana wallah

Sema hawa waporaji kwa kupitia IGA ya kishenzi, ni muhimu. Hakuna walichowekeza.

Nchi imewekeza zaidi ya dola bilioni 11, wao kwa maneno yao watakuja na dola milioni 500, yaani 4% tu ya kile ambacho nchi imewekeza.
 
Kwa hiyo ulitaka ikabidhiwe kwako
 
Upigaji how???

Si samia alisema hao wamekuja kukomesha upigaji ina maana hao wanakuja na version mpya ya upigaji?

Hawa wanakuja na upigaji ulioidhinishwa na watawala na genge lao. Huu ni upigaji mtakatifu kwa vile umetakatifuzwa na wasaliti wa Taifa.

Watu wanne wamefanikiwa kupora rasilimali ya watu zaidi ya milioni 60, na kisha kuwauzia jamaa zao.
 
Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
 
Karume day ni kubwa zaidi
 
tupia kapicha tuone DP world wanavyo pewa vitu vya TPA pia tupe orodha ya wafanyakazi wa TPA waliogoma kwenda DP WORLD ,kaka nchi imejengwa kwa misingi ya haki na umoja ,amani epuka maneno ya uchochezi
 
Sema hawa waporaji kwa kupitia IGA ya kishenzi, ni muhimu. Hakuna walichowekeza.

Nchi imewekeza zaidi ya dola bilioni 11, wao kwa maneno yao watakuja na dola milioni 500, yaani 4% tu ya kile ambacho nchi imewekeza.

bado airtanzagiza ndege tumenunua sisi shirika litaporwa na ndege zote kuchukuliwa lkn madeni yatalipwa na walipa kodi wa tanzagiza …
 
Unaonaje ukahamia Rwanda ili ufaidi uongozi wa Kagame? Wanyarwanda mliojaa nchini kinyemela mnazingua sana. Rudini kwenu.
 
Hawa washezi Mungu anawashughulikia mmoja baada ya mwingine. Nasikia mmoja wao tayari cancer ya korodani inammaliza kwa Kasi. Imebaki hawa walioko mjengoni na Kiongozi wao mkuu kibibi
 
Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
Sema Waarabu Wala usijifiche kwenye mgongo wa wazanzibari.
Kwa Taarifa yako mabionea asilimia kubwa ya wale waliopo Tanganyika wanatokea huko huko Zanzibar.
Sasa tutakuja huko na wamasai wote waliofukuzwa LOLIONDO na kupewa waarabu na kuoa waarabu na wazungu waitwe Moleli.

Wazanzibar halisi ni wale wenye asili ya Wanyamwezi, wamanyema, WANDENGEREKO , WABONDEI na wazaramo na sivinginevyo .
Nyie wengine ni wavamizi toka Uarabuni , mna chuki kubwa sana na watu weusi.
Muungano ukivunjika mtachinjana kama kuku mkigombea uongozi na ardhi ili mrudishe himaya ya kiarabu.

Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
 
Kwa hali olivyo
Hawa washezi Mungu anawashughulikia mmoja baada ya mwingine. Nasikia mmoja wao tayari cancer ya korodani inammaliza kwa Kasi. Imebaki hawa walioko mjengoni na Kiongozi wao mkuu kibibi
Wafe tu mpaka waishe hawa mashetani wakubwa! Na wakifa wachomwe motoni hadi wabakie majivu tupu wanaizaya wakubwa!
 
Wakae chonjo tu maana wazalendo wakiingia madarakani tunawatimua. Itakuaje walete watu wao wakati nchi ina watu kibao. Hii hila ya wajanja na fisadi nchini kukabidhi bandari zetu itakoma tu na wahusika tutawafikisha mahakamani kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…