Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mwamunyange alikuwa Shahidi katika kesi ya kumpindua Nyerere 1981 iliyowausisha wanajeshi kama uliifuatilia sasa sijui Mwamunyange gani unaemzungumzia?Mwamnyange mwenyewe asingekubali.
Tulia uone matokeo ya kesi ndo utajua ni relevant au irrelevantIrrelevant
Wewe unamzungumzia yupi?Mwamunyange alikuwa Shahidi katika kesi ya kumpindua Nyerere 1981 iliyowausisha wanajeshi kama uliifuatilia sasa sijui Mwamunyange gani unaemzungumzia?
Hata msaliti nae hujifanya ni mmoja wao shahidi anasema alisikia Urio nae anapiga kelele za maumivu kama mtu anaeteswa kisha akamuona Urio anatolewa kwenye magali mabovu kwa hiyo yeye akumuona Urio akiteswa je aiwezekani watuhumiwa walizugwa tuKabisa mkuu, kama kweli ni yeye aliyechora ramani…. ilikuwaje akamatwe pia na kuteswa huko Mbweni?
Tunahitaji kumsikia.
Acheni huu UPUMBAVU ndio maana mnaishi kwenye makwapa ya watawala sababu mna uwezo duni wakufikiri issue sio mtu kufungwa inatakiwa mtu afungwe kwa kesi ya kweli sio ule UPUMBAF mnafanyaEndeleeni kuomboleza siku Hukumu yake ikitoka mtajua kuwa mlikuwa hamjui
Hebu acheni kumislead watu, hawa watuhumiwa walishafutwa na JWTZ wakati wanakamatwa, harafu hii kesi bado inaendelea na Mbowe inaweza ikamfunga vilevile kwa makosa anayoshitakiwa nayo. Wasingekuwa na ushahidi na kesi iliyosimama wasingeanza kusikiliza kesi, wangeipiga kalenda tu wakisema upelelezi haujakamilika, indefinitely!Hii kesi ikiendelea ni aibu kwa serikali na ikifutwa na DPP ni aibu kwa serikali. Aibu haikwepeki kwa serikali kwa njia yoyote ile, yani kunyoa au kusuka hawapendezi.
Mimi ninamzungumzia aliewai kuwa CDF(Mkuu wa majeshi mstaafu) na ndio maana nimemuuliza huyo anamzungumzia yupi kama CDF mstaafu alishawai kuwa shahidi 1981 tena dhidi ya wanajeshi wenzie kina Komandoo TamimWewe unamzungumzia yupi?
Kwa hiyo kumbe matokeo tayari yameshapangwa, kumbe tunapoteza muda wetu bure wakati kesi ilikuwa kweli ya kubumba...😛😛😛Tulia uone matokeo ya kesi ndo utajua ni relevant au irrelevant
nakumbuka sasa maneno ya Mdude.... Huyu soroooo, huyu sirrooooo, huyu sirroooo - ameumiza wengi , kumbuka huyu ni mseminarKesi nzima ya serikali inaegemea ushahidi wa Urio halafu wanamtesa!!
Na huo ndio ushahidi mkubwa tulioambiwa na Sirro,huyu mzee astaafu tuu sasa.
Tatizo lenu mnajiona nchini ni ya kwenu zaidi kuliko wengine.Ndo akili zako za kibavicha zinavyokwambia?
Unafikiri maadili ya vyombo vyetu vya ulinzi ni kama hapo kwenu Bavicha?
Kwa taarifa yako, si Mara ya kwanza kwa vyombo vya ulinzi kushughulikia wahalifu kwenye nchi!
Fuatilia historia ya nchi hii utajua hata mwaka 1981 wanajeshi kadhaa walikamatwa na kupitia kibano kikali baada ya kufanya jaribio la kumpindua Nyerere!
Baadhi yao ni Luteni Zacharia Hanspope, Kapteni Maganga, Kapteni Kadego na Wengine.
Kwenye huo mpango wao alikuwepo Komandoo Tamimu ambaye aliuwawa na vyombo vya ulinzi maeneo ya magomeni baada ya kujaribu kutoroka akiwa anakamatwa
Bavicha mnajifanyaga mna akili kumbe vilaza wa mwisho hata historia ya nchi yenu hamuijui!
Tanzania haijawai kuwa legelege kwenye kudeal na wahalifu haijalishi wewe ni nani
Maswali ya Mawakili ndo yatatupa majibuShahidi anasema Urio aliteswa je Urio mwenyewe akiletwa na akasema hajateswa vipi ushahidi wa watuhumiwa wote utakuwabatili?
Rudi maktaba ya taifa kasome magazeti. Uhaini na Ugaidi ni kesi tofauti. Hili la Mbowe serikali inajuta kufanya ujinga huu.Ndo mnavyojidanganya hapo ufipa? Kweli mmekosa akili nyie watu!
Inaelekea una umri mdogo sana! Uliza komando Tamimu alifanywaje na vyombo vya dola mwaka 1981 baada ya kuongoza jaribio la kutaka kumpindua nyerere?
Tanzania kwenye kudeal na wahalifu haijalishi wewe Nani wanakupa dozi tu!
Jamaa analeta habari za enzi za mawe, enzi za GizaTatizo lenu mnajiona nchini ni ya kwenu zaidi kuliko wengine.
Mnajiona vyombo vya ulinzi na usalama hasa PT ni vya kwenu zaidi kuliko vya wananchi!
Kwa taarifa yako usiishi zamani... Zama zimebadilika! 1981 hadi leo ni 40 years.
Hii kesi ina mashahidi wengi ambao si raia wa kawaida. Na Ukweli unafahamika!
We jidanganye!
NB: mnaiogopa Bavicha hadi mnafanya makosa obvious! Wengine ni free radicals!
Aisee! Jamaa kapewa akili si zake!Jamaa analeta habari za enzi za mawe, enzi za Giza
Utafaidika na nini? Waza yule alitupwa porini angekuwa ndugu yako ungekuja na kuandika yote haya.Endeleeni kuomboleza siku Hukumu yake ikitoka mtajua kuwa mlikuwa hamjui
Bro, nimegundua kuwa Mtanzania ana roho mbaya kuliko Wahutu, hasa ccm sehemu yao ni KUZIMUUtafaidika na nini? Waza yule alitupwa porini angekuwa ndugu yako ungekuja na kuandika yote haya.
Kufungua threads nyingi kuomboleza kuwa Mbowe Hana hatia nikujichosha bure hizi porojo na blah blah hazimfutii ugaidi
Tanzania bila ugaidi inawezekana
Ujue mtu anakaa kbs anafurahi mateso ya Mbowe au mtu unaona anatoa maneno ya kumkebehi Tundu Lissu na ukatili aliofanyiwa.Bro, nimegundua kuwa Mtanzania ana roho mbaya kuliko Wahutu, hasa ccm sehemu yao ni KUZIMU