GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbowe na wtu eake walikihujumu chama muda mrefu sana na bado wsnaendelea.
Watu wa Mbowe ni wakina Lissu, Heche na Lema. Mmoja alikuwa Makamu wake na wengine wajumbe wa Halmashauri Kuu. Lissu alikuwa mgombea wa CDM wa urais. Heche alikuwa mjumbe katika majadiliano ya maridhiano. Kwa hiyo walishiriki kikamilifu katika hujuma zote dhidi ya Chadema.

Amandla...
 
Hamna shida itapigwa kalenda tena mpk augusti na tena september badae october.
Sababu tunafwatilia uchunguzi,
October unatiki au uwepo mahakamani kuandamana.
 
Yericko na Ntobi walikuwa wanajibu mashambulizi yenu. Na kuna tofauti kubwa kati ya kumuita mtu mropokaji na kumuita mwingine msaliti. Msaliti huku yake ni kifo wakati mropokaji ana dharauliwa tu.

Lakini pamoja na yote hayo Mbowe aliwakemea mapema wakina Ntobi na wakaacha. Lissu hajawahi kukemea lugha za matusi na kejeli za watu wake. Na mpaka sasa hivi si yeye au Heche aliyewahi kuzikemea. Hiyo ndio tofauti yao.

Pambaneni na mambo yenu. Pamoja na kujibhalaghua kwenu hizo threat zinaweza kuathiri vibaya chama chenu. Zipeni umuhimu zinazostahili. Achaneni na Chaumma.

Amandla...
Kumtetea Mbowe katika majira haya ni jambo gumu sana, ila endelea ili mkono uende kinywani.
 
Bora hiyo ilichangwa hadharani kuliko hela ya Abdul mnayopewa uvunguni kwa malengo yasiyojulikana, shame !!
Hongo ni hongo tu. Tunajuaje kama ile ya gari haikuwa advance tu?

Sasa mnadai kuwa pesa ya Abdul inatolewa uvunguni wakati kiongozi wenu alisema Abdul alimpelekea kwenye maboksi nyumbani kwake! Sasa tumwamini nani?

Amandla...
 
Hongo ni hongo tu. Tunajuaje kama ile ya gari haikuwa advance tu?

Sasa mnadai kuwa pesa ya Abdul inatolewa uvunguni wakati kiongozi wenu alisema Abdul alimpelekea kwenye maboksi nyumbani kwake! Sasa tumwamini nani?

Amandla...
Hakuna hongo inatolewa hadharani, lakini Abdul alikuwa anawapa kwa kificho na Mzee Kibao alipotaka kuwalipua mkashirikiana na dola kumtoa uhai wake,
 
Wewe ni kibaraka wa Lissu ndio maana umeweza kumtambua kibaraka mwenzako. Tofauti yetu ni kuwa wewe ni chawa pia.

Amandla...
Mnasema Lissu ni masikini sasa nitafaidika nini kuwa chawa wa mtu masikini? Kama ni uchawa mimi ni chawa wa Chadema na siyo mtu.
 
Mnasema Lissu ni masikini sasa nitafaidika nini kuwa chawa wa mtu masikini? Kama ni uchawa mimi ni chawa wa Chadema na siyo mtu.
Nani amesema Lissu ni maskini? Na uchawa sio lazima ufuate fedha. Wewe unaweza kuwa unamuona Mungu mtu hata kama hana pesa hivyo uko tayari kumuabudu. Lissu ana chawa wengi na wewe ni mmojawapo. Chadema ni btw.

Amandla...
 
Back
Top Bottom